Kuna vyeo/nafasi za ajira Serikali Kuu na Serikali za Mitaa huwa nashindwa kuona tofauti ya majukumu yao mf.
-Katibu/Afisa Tarafa
-Afisa Mtendaji wa Kata
-Afisa Maendeleo ya Jamii
Naomba tupewe job descriptions za hawa Maafisa wa Serikali ili tufahamu pia ikiwezekana tuishauri Sirikali yetu kujipanga upya
1. Bodi ya Uhifadhi wa Bahari na Maeneo Tengefu,
2. Bodi ya Leseni za Maghala Tanzania,
3. Tume ya Ushirika
4. Bodi ya Maziwa Tanzania
5. Mfuko wa Deni la Taifa
Taasisi za usimamizi ni nyingi balaa TCRA, SUMATRA, TFDA, EWURA,TCU, NACTE,TBS, TACAIDS,TIC,BRELA na bodi za Mazao (pamba, sukari, pareto, maziwa kahama, katavi n.k)