Ticket ya ndege Dar-Nairobi $450, Dar-Ulaya $650. Ni sawa kweli?

Ticket ya ndege Dar-Nairobi $450, Dar-Ulaya $650. Ni sawa kweli?

Hahaa...You guys are killing it.Kenya Hoiyee!!
 
Halafu hata huku mwaka jana Congress ilisikiza malalamishi ya DELTA pamoja na American Airlines didhi ya GULF Carriers kama Qatar na Emirates.
Wananalalamikia hii issue ya oil money being pumped perpetually into these airlines and jet fuel being subsidized for these very airlines thereby creating an unfair competiton!
Wenzetu wana fair competition body inayoyashughulikia maswala haya.
Wanasema in a real market economy/yaani biashara huria lazima shirika liendeshwe bila ujamaa/mkono wa serikali/subsidies na endapo inabidi serikali kuiokoa lazima iwekwe wazi/iwe published!
Majamaa wetu hawa wa GULF na wengine hawaweki haya wazi(funds injection by government/fuel subsidized airlines)
Waethiopia ndio husiseme kabisaa...wao nasikia hata MSHAHARA WA WAFANYIKAZI NI KAMA BUKU MBILI HIVI/KAMA ZA MBOGA VILE,hapo airline inabaki na faida kubwa isiyo na haki ,yaani hawafuati sheria za ICAO/Labor/IATA na mambo mengine mengi sana wacheni niishie tu hapa!
 
Rwanda is also trying to bet on this wrong horse Ethiopia wanasua sua na zile school bus zao EA airline business bado ngumu sana watu kama firstjet ndo wanaweza at least strength there muscles
 
Na wala sina haja ya kujua mi nikitaka ticket naenda kwa agent

Na ndio maana unapigwa ma bei kama hayo, agent wako anawapata ma yokels kama wewe. Unaanzisha thread kulalamikia comparison ya bei kumbe hujui jinsi ya kutafuta tiketi, agent anafurahia sana semi-literates ka wewe.

Eti bei za google, kumbe unataka za wapi, za wakata tiketi stendi ya mkoa? Get with the times!
 
Hahahaa umefanya nikakumbuka mama ntilie wa Kenya unafungiwa maharage yamechemshwa kwenye mfuko wa nylon eti take away lol!
Umesahau na wale watu wanaojisaidia (kunya) katika mifuko pale [emoji267] Nairobi Kenya
 
Duuuh, blah blah nyingi tu lakini hamjiwezi, mtanzania hawezi akaongea mambo ya air travel akaskizwa na yeyote mwenye akil timamu!. Air tanzania na mapanga boi yao wamekua hoi toka shirika lianze, hio ni aibu na laana jamani. Tulishasema humu wanyarwanda wakitoa point humu tutawaskiza, wanajaribu sana, nyie na burundi kapu moja la wasiojiweza[emoji90]
Jambazi kila siku anaona ujambazi ni haki yake, ule ujambazi mlio fanya EA airways mkaiba ndege na kuwaburuza mapilot wa Tanzania at the GUN POINT to Namaga border, mnaona ni jambo la kifahari. Ujambazi wa Kenya airways kuwalipisha abiria gharama zisizo eleweka itawaumiza Kenya airways kuliko abiria. There more option's now when it comes to air travel. SHAPE UP OR SHAPE OUT.
 
Wajua Dar hadi Nairobi ni sawa tu na Dar hadi Ulaya, Kwani Watanzania wakitoka kule kwa vitongojini wakija nairobi hivi wanaenda ugaibuni, ng'ambo. Ndo maana hiyo pesa ni sawa.
 
Jambazi kila siku anaona ujambazi ni haki yake, ule ujambazi mlio fanya EA airways mkaiba ndege na kuwaburuza mapilot wa Tanzania at the GUN POINT to Namaga border, mnaona ni jambo la kifahari. Ujambazi wa Kenya airways kuwalipisha abiria gharama zisizo eleweka itawaumiza Kenya airways kuliko abiria. There more option's now when it comes to air travel. SHAPE UP OR SHAPE OUT.
Katika biashara kuna kupanda na Kushuka, Shirika la KQ sio eti lili filisika, ila kuna upanuzi ulioliletea hasara, twaita "Mawingu Projects" But soon we will fix things as usual. Mawingu project involved purchase of 10 Boeng 787 and several Airbuses this was costly. But we still win international awards in travel awards year in year out!!!! We compete with the likes of Qatar, Lufthansa and Royal Air. TZ😉
 
Wajua Dar hadi Nairobi ni sawa tu na Dar hadi Ulaya, Kwani Watanzania wakitoka kule kwa vitongojini wakija nairobi hivi wanaenda ugaibuni, ng'ambo. Ndo maana hiyo pesa ni sawa.

U meant ughaibuni right?...Hata zanzibar ni ng'ambo ujue, Sio kenya tu.Watu wanalalamikia distance vs cost of travel, sio location, wala competition between other areas of travel na Kenya a.k.a Ughaibuni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..grow up!
 
Umesahau na wale watu wanaojisaidia (kunya) katika mifuko pale [emoji267] Nairobi Kenya

Haya ni mambo ya karne iliyopota.....vioo pammoja na sewage systems , almaaaruf KIBERA SLUM UPGRADING PROJECT IMESHAKAMILIKA!.......Nye mnakunya sasa hivi!
 
U meant ughaibuni right?...Hata zanzibar ni ng'ambo ujue, Sio kenya tu.Watu wanalalamikia distance vs cost of travel, sio location, wala competition between other areas of travel na Kenya a.k.a Ughaibuni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..grow up!
Shida yako huelewi, Wajua Mkenya akienda kufurther studies huenda America, England ama, Japan, Nyinyi ni hapa hapa Kenya tu, ......alienda ng'ambo kuongeza masomo..... kwenuu maanake Nairobi!!
 
a reason why KQ dies and believe me next year when JPM buys two jets tutabanana nao kwenye routes naskia plan ni kuwa na frequency kama KQ iliyonayo kwa routes za Tanzania!
You do know that there are other airlines in kenya smaller than KQ but still bigger than your ATL even after you buy those two jets, right? Obviously your not aware because you wouldn't be saying this....

Do you think adding a few boeings will really threathen KQ???
(So that you can see the amount of competition KQ goes through on a daily basis for the same market by local airlines alone, without even adding international airlines like akina ethihad,qatar,ET,FlyEmirates, British, EqyprAir, China.....)
lets begin by the list of Kenyan based airlines Vs Tanzania

Tanzania - 15 Airline Companies big-medium-small

upload_2016-11-20_12-57-44.png

upload_2016-11-20_12-58-41.png

upload_2016-11-20_12-59-20.png




Kenya - 46 airline Companies Big-Medium-Small

upload_2016-11-20_13-1-15.png

upload_2016-11-20_13-1-39.png

upload_2016-11-20_13-2-7.png

upload_2016-11-20_13-2-30.png

upload_2016-11-20_13-2-52.png

upload_2016-11-20_13-3-10.png

upload_2016-11-20_13-3-44.png



Kwa domestic market, utakuta the other 45 airlines combined carry more passengers than KQ, then ikija kwa international desitination za Africa, unakutana na akina ET,SouthAfrican,EqyptAir, RwandaAir.....Ikija kwa international, unakuta kuna kila aina za kampuni bigger and better than KQ...na bado KQ iko kwa ligi......sasa unataka kutwambia ati kuongeza boeing mbili huko TZ ndo it will make all the difference???? have you gone bananas!! ohh wait, thats your default mode


One example of a Kenyan based Airline bigger than any airline in TZ that you probably never knew about... It flies to 30 destinations worldwide

African Express Airways

African Express Airways was established in 1986. It is the second fully Kenyan designated airline to multiple destination around the world. Based at Jomo Kenyatta International Airport, African Express Airways is the largest privately owned airline in East Africa. It is a stable and steadily growing airline, which targets business and leisure travelers. The airline has been updating it's fleet with Boeing’s modern environmentally friendly regional jets that operate a daily departure from Nairobi.

upload_2016-11-20_13-21-11.png

upload_2016-11-20_13-21-52.png
 
30 destinations! how long do you think ATL will take to serve 30 destinations?? This airline has existed since 1986.. nyinyi mmeanza juzi hata ndege zengine bado mnazingoja zinunuliwe andalau mfikishe ndege za kutosha alafu tayari mshaanza kupiga kelele

African_Express_Airways_Boeing_727-200_Hanuise-1.jpg
2185191.jpg
fleet-md-82.jpg
pic01.jpg
 
Mashaallah Kafrican!...hiyo ndege teketeke mpaka Mogadisho!
 
Yep texi town tripu mwanza buku tatu. Ila kwenda magu kilo mita 60 ni 2000 . Nadhani utakua umeelewa
 
Yep texi town tripu mwanza buku tatu. Ila kwenda magu kilo mita 60 ni 2000 . Nadhani utakua umeelewa
kabsa..Nadhani nimekuelewa.... juzi huku kenya nilikua nimechelewa kufika offisi ya bus ya kwenda pwani, nilikua na mizigo mingi, nikaona afadhali nchukue taxi nipite na 'bypass' nipate basi mbelembele ikiwa imefika barabara ya mombasa-road maana nilijua kutakua na ka-jam ndani ya jiji..... Taxi ilinilipisha KSH 1,500 kwa kilometer kama 20 hivi wakati bus ya kwenda pwani km kama 500 nililipa nauli ya 1,300
 
Nadhani kuna mode of scale... mkiwa wengi mnalipa kidogo, mkiwa kidogo mnalipa nyingi..
Ndege za kwenda ulaya hua si kila siku zinajaa, lakini kampuni zinajua wako guaranteed siku zote kutakua na abiria kiwango flani cha kutosha.... lakini ndege za humuhumu, kampuni hazijui kila siku itakuaje, abiria wanakuja na misimu yao, leo abiria 80, kesho abiria 15, keshokutwa abiria 30, mtondogoo abiria wanane!
 
Back
Top Bottom