TID afunguka kiasi alicholipwa kwenye movie ya girlfriend

TID afunguka kiasi alicholipwa kwenye movie ya girlfriend

Kaka madenge

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2021
Posts
312
Reaction score
574
Msanii mkali kama anavyojiita TID mnyama ,ameweka wazi kiasi alicholipwa kwenye movie mahiri miaka ya nyuma "Girlfriend"

'Walinilipa laki 5 kwenye movie ,ni pesa nyingi kwa kweli wakati huo, lakini walinichezesha main actor bila Mimi kujua"

Amefunguka Mnyama huyo hatari zaidi ya simba
Girlfriend ni moja ya movie iliyoleta mapinduzi makubwa nchini hapa ..

Madenge ni mdogo wangu"
 
Back
Top Bottom