TID afunguka kiasi alicholipwa kwenye movie ya girlfriend

TID afunguka kiasi alicholipwa kwenye movie ya girlfriend

Hilo halina ubishi. Now anaigiz na mastaa wenzake katika tamthilia ya JUAKALI inayorushwa na DSTV. Kuna mastaa kibao sana humo
Mwaka huu kidogo naona mambo yamekuwa poa kwa upande wake: anacheza filamu, Jugde, anaandaa Nyota 21.
 
Msanii mkali kama anavyojiita TID mnyama ,ameweka wazi kiasi alicholipwa kwenye movie mahiri miaka ya nyuma "Girlfriend"

'Walinilipa laki 5 kwenye movie ,ni pesa nyingi kwa kweli wakati huo, lakini walinichezesha main actor bila Mimi kujua"

Amefunguka Mnyama huyo hatari zaidi ya simba
Girlfriend ni moja ya movie iliyoleta mapinduzi makubwa nchini hapa ..

Madenge ni mdogo wangu"
Nina bro wangu mmoja alikuwa anapenda sana pale ay na gk wanapomtongoza demu wa tid....[emoji3][emoji3][emoji3] Its a very very long time
 
Back
Top Bottom