TID afunguka kiasi alicholipwa kwenye movie ya girlfriend

TID afunguka kiasi alicholipwa kwenye movie ya girlfriend

Msanii mkali kama anavyojiita TID mnyama ,ameweka wazi kiasi alicholipwa kwenye movie mahiri miaka ya nyuma "Girlfriend"

'Walinilipa laki 5 kwenye movie ,ni pesa nyingi kwa kweli wakati huo, lakini walinichezesha main actor bila Mimi kujua"

Amefunguka Mnyama huyo hatari zaidi ya simba
Girlfriend ni moja ya movie iliyoleta mapinduzi makubwa nchini hapa ..

Madenge ni mdogo wangu"
Na hiyo Madenge ni mdogo wangu alifunguka yeye
 
Kinachowaumiza hawa mikataba wananegoshieti wenyewe, ndiyo maana wanapigwa, kuwa na mwanasheria wanaona atamwibia, Acha wapigwe tu
Issue nyingine ni monopoly ya soko. Unakuta manager wapo 2 kila msanii anamtaka huyo huyo sasa kwanini manager asijidraftoe mkataba anavyotaka.

Na wasanii wengi ni njaa na wanachotaka ni fame kwa nguvu na mademu
 
huyu mjinga huwa ana vimaneno vya kijinga jinga sana. kuna jamaa yangu ni mlokole wa kutupwa ila anamkubali T.I.D hadi kesho aliacha mkesha wa maombi tukaenda kwenye shoo ya warioba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom