Kaka madenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2021
- 312
- 574
TID karudi kwa Sasa, angalau amerudisha jina lake!Unga umepoteza wengi sana
Yeah wameteseka sana na kama sio Chibu bongofleva mpaka sasa ingekua burudani tu ila si sehemu ya kutengeneza maishaIla hawa jamaa wameipigania bongoflava matunda wamekuja kula akina Chibu
Kwamiaka ile pesa nying io chipsi sh 300 nauli 50 kiwanja laki 2 unapata na unajengaUkizingatia ndiyo Bongo movie ya kwanza yenye kiwango, laki tano bado ulipigwaa.
Ilikuwa around 500 USDBy then laki 5 zilikuwa ni kama USD ngapi?
chips kavu mia tatu,chips yai mia tano,bia mia tano,nauli mia hamsini bado alipigwa.Kwamiaka ile pesa nying io chipsi sh 300 nauli 50 kiwanja laki 2 unapata na unajenga
Sawa T.I.D Ila uwache Kula sembeT.I.D ni msanii mzuri Sana
Yes, kuna watu wana vipaji halisi. Siyo tiamaji tiamaji.Hajasema alibwia unga wa shingapi? Kutoka kwenye hio 500000?ila TID anabaki kuwa msaniii wangu mkali kupita wote