TID amerudia tena kutumia madawa? Ameonyesha dalili za uteja!

TID amerudia tena kutumia madawa? Ameonyesha dalili za uteja!

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
TID alitangaza kuacha kutumia madawa kwa mbwembwe na kusema amebadilika kuwa mtu mstaarabuna siyo yule mwenye wenge kama zamani
Ila kwa interview aliyofanyiwa na EATV huenda TID keshayarudia...
Jamaa anadai jina lake la TID aitwe na watu wa mikoani tu sababu ni kuwa jina hilo ni maarufu kupita kiasi, watu wa Dar wamuite Khaleed au mnyama huku akiongea kama ana wenge flani hivi..nika sema Dah....

 
maisha haya jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
madawa hayaachwi kama soda! Atuondolee ujinga wake, tumezika watu for that shit!
 
Mkaka mzurii kweli anajiharibu na madawa namkubali mpka kesho khaleed
 
Msamehe bure.
Matatizo yake yanaeleweka.
Keshalegeza ubongo hapo...
 
hiyo ni attitude ya teja huyu tid bado anakula unga haina ubishi.

yani badala ya kumpeleka teja sober house unampeleka gym,
Ha, ha, haaaaa dah kweli umelenga point sana mkuu yaani badala ya kupelekwa sober house kapelekwa gym au sio?

Ndio maana hawataki kutoa vyeti matokeo ni bure kabisa. Akina bashite wanajijua wenyewe.
 
Hata ukiacha uteja huwezi kuacha pupa ,hata huko sober house huwa wanapunguziwa dose au wanapewa dose ya methadone kwa kiwango

Uteja hauwezi kuachwa ndani ya wiki ,mwezi au mwaka

Huchukua miaka 5,6,4 nk
 
Back
Top Bottom