TID amerudia tena kutumia madawa? Ameonyesha dalili za uteja!

TID amerudia tena kutumia madawa? Ameonyesha dalili za uteja!

TID ANASEMA AMEACHA UNGA ILA ANACHOTAFUTA NI SYPATHY TU NA KIKI!
MADAWA MTU KUYAACHA ANAACHA SYO KWA KUJITANGAZA AMA KUTAKA SIFA....
UWE NA MOYO NA DHATI UNAACHAAA MADAWA....

OVA
 
Zile milion mbili za kupewa na bashite alinunua mzigo wa kutosha aibu ya kondakta na dereva kwa huyu abiria wao kwa maigizo
Ngada sio chai uko india bora angetumwa huyu[emoji23][emoji23][emoji119]
 
Kwani si walipewa sharti la kuripoti sijui kwa ofisi gani kila mwezi ili wawe wanapimwa damu!!!

Au ilikuwa danganya toto ile?
 
Mnyama, Warioba, Mzee Kigogo. Doh!



Acha wafu wazikane wenyewe. Hatujui kama tumekosea kupika ugali mpaka pale kimoja kinapozidi, aidha maji ama unga.









Amini nakwambia
 
Top In Dar ni mtu wa show off toka zamani..
 
Huyu mla unga ana stress bill ya hapo gym aliyolipiwa na tajiri mtata Salaa inaisha tarehe 3 April 2017.
 
Yan anavoonekana
Tu bla hatq kuongea n kwamba unga anautumia sana

Me nlishwaambia unga n
Sawa na papuch ukishaonja
Kuacha n mwiko mpaka
Utakapo kata kauli
 
Back
Top Bottom