Konseli Mkuu Andrew
JF-Expert Member
- May 10, 2013
- 749
- 875
Mkuu najua fika ata hao unaowataja kama hakutakuwa na usimamizi mzuri wa pesa basi mambo yatakuwa hivi tuu.Neno msanii lina maana kubwa sana aseee unaona leo kama wamefanikiwa kumbe wanafanya usanii tuu ikiwa wao wanateseka wengine ndo wananufaika na matokeo yake wanakuwa kwenye msongo kama wa huyuTID alienda bara akazinguana na huyo jamaa TID akachukua pombe akammwagia jamaa usoni, weee alichezea kichapo cha haja amevimbishwa haswa, hii ya video ilikuwa awamu ya pili, TID pesa imekuwa ngumu akiona maendeleo ya kina Harmonise anapata msongo..huyu atarudia bwimbi tu.
TID alikuwa karibu sana na DAB lakini naona kama nowdays amemchoka ameamua kumwacha aendelee na Maisha yake.
Vijana wa Kino stereo hao.....
Dah mkuu wa mkoa wetu ndy amuone sasa Maana alimsaidia vya kutosha
Ova
Mnyama ana nyota ya kuchezea vichapo
Vijana wa stereo ndy maisha yaoYaani utaitwa mzembe "Hujielewi.. mpenda starehe na kila Aina ya dhihaka
TID alienda bara akazinguana na huyo jamaa TID akachukua pombe akammwagia jamaa usoni, weee alichezea kichapo cha haja amevimbishwa haswa, hii ya video ilikuwa awamu ya pili, TID pesa imekuwa ngumu akiona maendeleo ya kina Harmonise anapata msongo..huyu atarudia bwimbi tu.
WapuzzHahaha yaani kwao pale pale --kapewa kichapo
Mdomo mchafu na dharau. Mtu akiwa na hizo tabia mbili halafu akawa mlevi mlevi na stress lazima apasuke tu kila siku.Wapuzz
TID ameshindwa tumia nafasi yke vzr
Ila bonge la msaniii
Kuna siku kalapina alimpiga Bila wadau kutokea na kumzuia angemumiza
Alafu wale Wana ka undugu
Sema TID ana mdomo mchafu
Kupigwa lzima
Ova
Inategemea unaishi vipi na majirani huyo mtu wa majigambo inaonesha hata majirani wamemchoka.Hahaha Yeye kalewa halafu anapigana na wasiolewa ---
Halafu mbona huo ni mtaa wa kwao ina maana hakuna hata aliye jitokeza kum-gombelezea. .?!!!...Dah! !ama kweli maradhi yote ugua lakini kuchacha usiombee
Inategemea unaishi vipi na majirani huyo mtu wa majigambo inaonesha hata majirani wamemchoka.
Ngumi kaanza kurusha mwenyewe kipigo kimegeuka kwake ππππHahaha yaani kwao pale pale --kapewa kichapo
Wapuzz
TID ameshindwa tumia nafasi yke vzr
Ila bonge la msaniii
Kuna siku kalapina alimpiga Bila wadau kutokea na kumzuia angemumiza
Alafu wale Wana ka undugu
Sema TID ana mdomo mchafu
Kupigwa lzima
Ova
Lazima utakuwa unachezea kichapoMdomo mchafu na dharau. Mtu akiwa na hizo tabia mbili halafu akawa mlevi mlevi na stress lazima apasuke tu kila siku.