TID - hizi ni frustrations ama?

Wapuzz
TID ameshindwa tumia nafasi yke vzr
Ila bonge la msaniii
Kuna siku kalapina alimpiga Bila wadau kutokea na kumzuia angemumiza
Alafu wale Wana ka undugu
Sema TID ana mdomo mchafu
Kupigwa lzima

Ova
Ilitokea lini hii mkuu? What happened? Mwaga nondoz
 
Huyo mchukua video sasa utadhani alikuwa juu ya trekta kasimamia mguu m'moja.

Sasa anachukuaje video hivyo, na hakuwa na sababu ya kukwepesha kamera. Amenikera ningemkuta na yeye ningemkung'uta.
Aisee nimecheka kwa nguvu mbele za watu, JF kiboko
 
Mbona mchukua video alikuwa anahangaika sana kama anaogopa asije kuonwa na mnyama!?
Nimecheka sana. Kweli tungi halimkopeshi mtu! Mnyama kaghadhabika na kuishia kuanguka mieleka ovyoovyo!
 
Hayo mambo ya ngumi sifagilii kabisa. Unaweza kuchomwa kisu kimoja tu kama yule msanii mwingine....utumbo kulee...
 
Huyu mnyama bhana, kumbe Kiswahili anakijua fresh tu...!!
 
Au ni KIKI ili apate intavyuu..!! [emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…