Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Na ndio maana hata watangazaji wetu wakifanya mahojiano na mtu yaani hata akisema "no comment" wataendelea kumchimba tu mpaka asemeSwahili people are not used to freedom of speech.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ndio maana hata watangazaji wetu wakifanya mahojiano na mtu yaani hata akisema "no comment" wataendelea kumchimba tu mpaka asemeSwahili people are not used to freedom of speech.
Mtani umeandika kihaya?Hivi huyu ruge jana jem hata moj glowatendea hawa wasanii!!!
bibie niambie leo umekula maharage ya kasuru au Kibondo sio kwa kuandika hukuHivi huyu ruge jana jem hata moj glowatendea hawa wasanii!!!
Walikuwa wanaendekeza starehe tu.FA,AY,Kiba,Prof J mbona wamesimama na hawatoi nyimbo kila sikuNadhani pia wasanii wa nyuma walisahau kwamba kuna haja ya kuwa na shughuli zaidi ya moja yaani kipindi upo juu kimuziki ile hela unayopata unaiwekeza sehemu nyingine pia ili siku ambayo haupo juu unakuwa unapambana na hali yako huku ukijipanga kutoa vitu vikali...lakini kama muziki wako ukifeli na wewe huna kingine cha kufanya lazima utabaki na lawama tu
Hahahaaa!! Mtani nimelewa wale wadudu, si unajua msimu huu.Mtani umeandika kihaya?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]bibie niambie leo umekula maharage ya kasuru au Kibondo sio kwa kuandika huku
Na wewe Cocochanel kufeli kwako nani kachangia au Slowslow nini?Kwanini watu wasipofanya bidii na huyu kwa kupitia maunga etc.. wanapenda kuwasingizia Clouds?
Hivi kwani wanabeba akili au miili yao na kuiburuza huku na kule?
Nashangaaa
anamsaidia sana Kiba now..ngoja atakapo mkaushia..yule jamaa siyo jiniuz..ujuaji tuUnamzungumzia genius ruge or?
Kawasaidia Sana Hawa kina tid nikwamba binadamu wanakumbuka mabaya tu mema hawayaoni [HASHTAG]#GoRuge[/HASHTAG]
Tatizo hawezi fanya kazi zake independent mana clouds media kwa sasa ndio media inayotoa air time kwa baadhi ya nyimbo na zikakiki kwa lazima...si unaona rubby aliombwa akakimbia kimbia mwisho anakaileta mwenyewe.kaongea ukweli, tatizo wanachelewa kushtuka au kujua jinsi ya kucheza nao hao mawingu teh teh, mi ntalaumu wakati wenzao wanaonewa wao wakipewa favor hawakusema chochote. Cha msingi afanye kazi zake independent
Ruge change bro..Karma inakuja
Na wewe Cocochanel kufeli kwako nani kachangia au Slowslow nini?
Huko Lumumba huko kwenye ajira yako ya buku7!Kufeli kuhusiana na nini haswaaaa?