TID mnyama awadisi Clouds kwa kuua Mziki/ Awahusisha na majanga kwa wasanii.

TID mnyama awadisi Clouds kwa kuua Mziki/ Awahusisha na majanga kwa wasanii.

Mnaodai freedom of speech, sasa hapo ndio kaongea nini? Anadai ashauza muziki kwa milioni nyingi, mara anasema ana album tano lakini hakuna mtu wa kumsaidia, tumueleweje? Point hana analopokwa tu, freedom of speech au freedom of cocaine ?
 
Hivi huyu ruge hana jema hata moja alowatendea hawa wasanii!!!
 
Nadhani pia wasanii wa nyuma walisahau kwamba kuna haja ya kuwa na shughuli zaidi ya moja yaani kipindi upo juu kimuziki ile hela unayopata unaiwekeza sehemu nyingine pia ili siku ambayo haupo juu unakuwa unapambana na hali yako huku ukijipanga kutoa vitu vikali...lakini kama muziki wako ukifeli na wewe huna kingine cha kufanya lazima utabaki na lawama tu
 
Walikuwa wanaendekeza starehe tu.FA,AY,Kiba,Prof J mbona wamesimama na hawatoi nyimbo kila siku
 
TID KAONGEA KWELI,KAWAIDA WATZ MWENZAO AKILALAMIKA HUMUONA KAMA MJINGA LAKINI LIKIMFIKA YEYE ANAJIKUTA ANATAFUTA HAKI/HURUMA KWA MTU.
 
Kwanini watu wasipofanya bidii na huyu kwa kupitia maunga etc.. wanapenda kuwasingizia Clouds?
Hivi kwani wanabeba akili au miili yao na kuiburuza huku na kule?
Nashangaaa
Na wewe Cocochanel kufeli kwako nani kachangia au Slowslow nini?
 
Kibaraka wa Bashite anadhani anamsaidia vita yake na Ruge.
 
Sam wa Ukwe'e amekufa na Ukimwi wa kurogwa na Ruge
 
na
Unamzungumzia genius ruge or?
Kawasaidia Sana Hawa kina tid nikwamba binadamu wanakumbuka mabaya tu mema hawayaoni [HASHTAG]#GoRuge[/HASHTAG]
anamsaidia sana Kiba now..ngoja atakapo mkaushia..yule jamaa siyo jiniuz..ujuaji tu
 
kaongea ukweli, tatizo wanachelewa kushtuka au kujua jinsi ya kucheza nao hao mawingu teh teh, mi ntalaumu wakati wenzao wanaonewa wao wakipewa favor hawakusema chochote. Cha msingi afanye kazi zake independent
Tatizo hawezi fanya kazi zake independent mana clouds media kwa sasa ndio media inayotoa air time kwa baadhi ya nyimbo na zikakiki kwa lazima...si unaona rubby aliombwa akakimbia kimbia mwisho anakaileta mwenyewe.
 
Back
Top Bottom