Napenda kuwa na girlfriend mwenye kucha za. ..... TID mkali sanaaa, sio zeze bali zote alizoweka sauti yake ni tamumsauti wa kukwaruza na wala hana pumzi. zeze aliimba utadhani anaongea.
zote aliimba kama anaongea. sema ni wanamziki wa mwanzo mwanzo ndiyo inafanyamumkubali hivyo.Napenda kuwa na girlfriend mwenye kucha za. ..... TID mkali sanaaa, sio zeze bali zote alizoweka sauti yake ni tamu
Hiyo style yake unayosema anaongea ongea ndo nnayoipenda.zote aliimba kama anaongea. sema ni wanamziki wa mwanzo mwanzo ndiyo inafanyamumkubali hivyo.
Man you've said it all. Machozi yamenitoka kutokana na hii comment yako ndugu. Sijaona msanii aliyekuwa talented katika live performance mpaka kuognga copy za Mbele kama TID. Sijui mini kimemkuta.dah!Labda kama unatania....TID ana uwezo wa kupiga show mwenyewe non stop na usikae kitini. .kila ngoma yake atayoimba kama unafatilia mziki utaimba nae hapo akiwa hajaamua kupiga copy za kinyamwezi hajaamua kukata kuimba aanze kudance. ..waulize waliosoma nae shaaban Robert zile food evening zao alikuwa anafanya balaa gani hapo kabla hajatoka kimziki rasmi kabla hajaanza kurap na wanae black gangsters. ..akiflow kama humuoni unajua huyu nas escobar
aka warioba,aka powerbankNi kweli TID..aka mnyama..aka..mti mkavu...ni mkali...ila hashauriki....hyo jamaa..huo ndio urithi wake....
umezaliwa lini mkuu?!!kalisikilize zeze na kuangalia ile simple choreography ambayo haina hata dem mrembo..tid anaimba kwa sauti ya juu na sauti inabaki bomba,your average today's artists wanaowhisper kama diamond kwa kuogopa akiimba kwa sauti ya juu anaweza kujamba au sauti inatibuka..Naona mmekuja kumpigia promo tu mshikaji wenu. Yes, anaweza kujieleza kwenye interview lakini the guy has no talent na sauti yake ni ya kawaida sana na nafikiri baada ya kusoma alama za nyakati akaona bora abwie unga aachane na mawazo ya kutowin.
wewe inaonekana umenuwia kwa makusudi kubishana!
umezaliwa lini mkuu?!!kalisikilize zeze na kuangalia ile simple choreography ambayo haina hata dem mrembo..tid anaimba kwa sauti ya juu na sauti inabaki bomba,your average today's artists wanaowhisper kama diamond kwa kuogopa akiimba kwa sauti ya juu anaweza kujamba au sauti inatibuka..
mkuu unajua maana ya mapovu? najua unajua maana yake kwa lugha ya kiswahili tu sasa ebu jaribu kuangalia maana ya hilo jina kwa kihispania kwanzaWe kweli ni mapovu tu.