TID ni hatari sana!

TID ni hatari sana!

Samahani mkuu😀hivi wewe ni muha???maana kuna usemi kwamba muha mmoja aweza bishana na abiria wa behewa moja dar mpaka huko kigoma😕
Ahahahahahaaa... Mkuu hao anaobishana nao ni waha au ..?? Maana kama ni waha hilo behewa sipati picha litakuwaje..
 
Man you've said it all. Machozi yamenitoka kutokana na hii comment yako ndugu. Sijaona msanii aliyekuwa talented katika live performance mpaka kuognga copy za Mbele kama TID. Sijui mini kimemkuta.dah!
ngada
 
Kuna hit moja inaitwa Asha balaa au kiuno na Ngwair!Tid anga zake ni za Ruta Bushoke,Chilla,Banana na wote game limewapotea
 
wacheni kumpa promo kijana mwenzenu, mnaacha kumshauri vizuri aachane na ubwiaji unga nyie mnampa kichwa kuwa yuko vizuri, toka lini TID akawa mwanamuziki? Yeye toka alipokuwa shuleni alikuwa mtu wa ngonjera tu, huyu hajuwi muziki na ndiyo maana kila mara anakuwa out of tune when singing hajajuwa namna ya kujitune vizuri ila nyie msiojuwa mnasema jamaa yuko fit, how? Mwongezeeni unga ale.
cheki hizo sikio zako ndo ziko ''Out OF Tune'' Pia iko wazi We Ni Mdau Wa Ngonjera So Level Za ''TID~MNYAMA'' Znakuacha Chini Mno; labda ''OTTU JAZZ'' Na Kina ''SIKINDE''

Unajua Goma La ''TID FT NAZIZI''-''Watasema Sana Na Kisha Watalala ; Kama Kunipenda Najua Umenipenda Sana''..Mnyama Anamalizia ''OYEE''(rudia Kiitikio Mara 2)

Jigo
 
Samahani mkuu😀hivi wewe ni muha???maana kuna usemi kwamba muha mmoja aweza bishana na abiria wa behewa moja dar mpaka huko kigoma😕
umenifanya nishikwe Na Huzuni nikamic demu Wangu ''Muha'' Ila Kwa sasa Siko nae tena Yule Mtoto amenijaa kinoma.. ooh! Keyner Mamii Uko wapi mamii!!?

Hahahahaaaaa pole sana mkuu.
 
umenifanya nishikwe Na Huzuni nikamic demu Wangu ''Muha'' Ila Kwa sasa Siko nae tena Yule Mtoto amenijaa kinoma.. ooh! Keyner Mamii Uko wapi mamii!!?
Jigo

Acha fix, muha gani ataitwa Keyner
 
Nilitazama jinsi TID alivyokuwa anaimba kwenye kipindi cha FNL..
nilikuwa nahofia ange collapse......kama una ndugu au rafiki mwenye drug addiction
utajua kuwa huwa sometimes wana collapse...ni kama kifafa fulani hivi huwakumba...

Nilikuepo siku Diamond Jubilee siku TID anaimba for the first time Zeze..
wimbo ulikuwa hata kwenye radio haujapelekwa..wala video bado..
ilikuwa 'something special'....nakumbuka hadi leo hii ile perfomance
na sikumbuki msanii yoyote mwingine alie perfome siku ile...

TID ana combination inayomfanya awe very unique
1.anajua kuji present
2.anajua mbwembwe za kisanii
3.yuko fluent english na kiswahili inamsaidia popote anapoenda
alipoenda Kenya ilikuwa kama ndo first time msaanii wa TZ anaweza kuongea na waandishi wa habari
kiingereza
4.anajua cha kufanya jukwaani...
5. wakati anaanza ilikuwa kama hana mshindani...wakati ulikuwa upande wake

Baada ya drugs na competition kujitokeza ...TID now ni kama yuko kwenye denial
ni kama hataki kukubali he is no longer the 'top in Dar'

perfomance ya juzi imenikumbusha perfomance ya Eddie Murphy kwenye movie ya 'Dreamgirls'
pale umaarufu ulipomuishia..it was sad......

Kuna watu mnaweza fikiri kwenye FNL TID ali perfome vizuri but mimi niliemuona akiwa peak
huyu TID ametia huzuni tu zaidi.......watu wengi wanafikiri Zeze ndo nyimbo ya kwanza ya TID
ukweli TID alianza na nyimbo aliimba kwa kiingereza na haiku hit halafu akaja na 'mrembo'
ili hit kidogo kabla ya 'zeze' iliyo change the game forever....TID akawa msanii wa kwanza wa bongofleva
kununua 'baloon' enzi hizo ni LadyJaydee tu ndo ana vitara...

A lot has changed.....since then......
 
Pia kuna wasanii wengi tu wakali wanazidi kupotea ktk tasnia ya muziki.Patakua na tatizo mahali wanakosea, kuna haja ya kuunda chombo mahususi kwa ajiri ya kuwashauri.Umaarufu huja na mambo mengi sana na ukikosa tu umakini unapotea kabisa.
 
Management ni kitu muhimu sana kwa msanii..

Usanii una mambo mengi sana ya ajabu, bila kuwa na watu makini waliokuzunguka kiusimamizi ni ngumu sana kuepuka vikwazo hasa kwenye game ya bongo hii jina kubwa, pesa hakuna, kushikwa kichwa na baadhi ya stations, ushindani kwenye game unaongezeka kila siku huku pressure kutoka kwa mashabiki ndio shida zaidi mitusi, kejeli shida tupu
 
Nilitazama jinsi TID alivyokuwa anaimba kwenye kipindi cha FNL..
nilikuwa nahofia ange collapse......kama una ndugu au rafiki mwenye drug addiction
utajua kuwa huwa sometimes wana collapse...ni kama kifafa fulani hivi huwakumba...

Nilikuepo siku Diamond Jubilee siku TID anaimba for the first time Zeze..
wimbo ulikuwa hata kwenye radio haujapelekwa..wala video bado..
ilikuwa 'something special'....nakumbuka hadi leo hii ile perfomance
na sikumbuki msanii yoyote mwingine alie perfome siku ile...

TID ana combination inayomfanya awe very unique
1.anajua kuji present
2.anajua mbwembwe za kisanii
3.yuko fluent english na kiswahili inamsaidia popote anapoenda
alipoenda Kenya ilikuwa kama ndo first time msaanii wa TZ anaweza kuongea na waandishi wa habari
kiingereza
4.anajua cha kufanya jukwaani...
5. wakati anaanza ilikuwa kama hana mshindani...wakati ulikuwa upande wake

Baada ya drugs na competition kujitokeza ...TID now ni kama yuko kwenye denial
ni kama hataki kukubali he is no longer the 'top in Dar'

perfomance ya juzi imenikumbusha perfomance ya Eddie Murphy kwenye movie ya 'Dreamgirls'
pale umaarufu ulipomuishia..it was sad......

Kuna watu mnaweza fikiri kwenye FNL TID ali perfome vizuri but mimi niliemuona akiwa peak
huyu TID ametia huzuni tu zaidi.......watu wengi wanafikiri Zeze ndo nyimbo ya kwanza ya TID
ukweli TID alianza na nyimbo aliimba kwa kiingereza na haiku hit halafu akaja na 'mrembo'
ili hit kidogo kabla ya 'zeze' iliyo change the game forever....TID akawa msanii wa kwanza wa bongofleva
kununua 'baloon' enzi hizo ni LadyJaydee tu ndo ana vitara...

A lot has changed.....since then......
asee hayo uliyoongea ni kweli mie nilikuwa Nasikiza redioni. was about to cry... jamani ngada ni mbayaaa
 
Kuna wengine tulimiss hiyo show sababu hatuko interested na FNL,kama ipo YouTube naomba yeyote aniwekee link nikaicheki.
Asanteni.....
 
Show ilikuwa poa sana Nifah kuna member aliwahi kusema humu Sam misago aliwahi kutoka na mwasiti..niliprove hilo juzi alipokuwa naye kwa show...hamna kuangaliana yani!
 
Yeah,Sam yuko na Mwasiti ila wanaficha.
Show ile nilishasema sitoangalia ila natamani sana kuona kipande cha TID tu!
 
Back
Top Bottom