Tiffah's 40: Sherehe ya mtoto wa Diamond Platnumz kutimiza siku 40 tangu azaliwe

Well said kidum. Yeye kachangia nini uko kabla ya kuja kujudge wenzio wafanye kitu yeye hawezi. Kuishi na binadamu ni kazi

Mtu kama Mengi si angeacha kufungia ndoa nje ya nchi, hiyo bajeti akaiingiza kwenye charity? Au Bakhressa si angewapiga biti watoto wake wauze magari yao ya luxury watembee kwa miguu na pesa za mauzo wadonate? Kwanini Rostam haendi Muhimbili akawaomba wote walio kwenye foleni kuwa atawalipia matibabu yao yote? Hao wote Niliowataja, wana pesa, Diamond ni kama muuza samaki ukimlinganisha nao, na hawafanyi hayo, leo Diamond ni nani mpaka akomaliwe hivyo?
 
Kama mtu kafanya poa basi anastahili pongezi ....aisee hongera kwa Diamond jamaa anajua kutumia fursa yaani mtoto anaingiza mamilion kutoka kwa wadhamini wakati kwenye Tv stations kuna vipindi ambavyo vinatimiza hadi miaka sasa hawana wadhamini.
 
We umechangia nin kwenye hizo hospital? By the way NMB sio charity firm na,sio jukumu lao kuchangia matatizo yenu hamna serikali? Wanatoa wakipenda tu kurudisha fadhila kwa jamii na si lazima, n kwa taarifa hawa wapo kibiashara tu.

And that says a lot about your intelligence...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…