Uso wa nyoka
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 4,791
- 2,375
Well said kidum. Yeye kachangia nini uko kabla ya kuja kujudge wenzio wafanye kitu yeye hawezi. Kuishi na binadamu ni kazi
Mtu kama Mengi si angeacha kufungia ndoa nje ya nchi, hiyo bajeti akaiingiza kwenye charity? Au Bakhressa si angewapiga biti watoto wake wauze magari yao ya luxury watembee kwa miguu na pesa za mauzo wadonate? Kwanini Rostam haendi Muhimbili akawaomba wote walio kwenye foleni kuwa atawalipia matibabu yao yote? Hao wote Niliowataja, wana pesa, Diamond ni kama muuza samaki ukimlinganisha nao, na hawafanyi hayo, leo Diamond ni nani mpaka akomaliwe hivyo?