Tiffah's 40: Sherehe ya mtoto wa Diamond Platnumz kutimiza siku 40 tangu azaliwe

Tiffah's 40: Sherehe ya mtoto wa Diamond Platnumz kutimiza siku 40 tangu azaliwe

Naomba kuuliza swali
Mbona siwaonagi watu kama kina Nancy sumari Mrs mengi and the type kwenye shughuli kama hizi
 
This says a lot about our intelligence! In the main time kuna hospital hazina madawa! NMB na clouds si wangeweza kuchangia afya, kweli hapa kazi tu.

We umechangia nin kwenye hizo hospital? By the way NMB sio charity firm na,sio jukumu lao kuchangia matatizo yenu hamna serikali? Wanatoa wakipenda tu kurudisha fadhila kwa jamii na si lazima, n kwa taarifa hawa wapo kibiashara tu.
 
ni vizuri afanane na mamayake lakini akifanana na baba atakuwa mbeya sababu ya dmo
 
Ukweli ni kwamba game limemkubali dogo. ...nyumba nzuri. ...na amejua kutumia fursa. ..Tifah kaanza kupiga hela akiwa na siku 40 tu
 
We umechangia nin kwenye hizo hospital? By the way NMB sio charity firm na,sio jukumu lao kuchangia matatizo yenu hamna serikali? Wanatoa wakipenda tu kurudisha fadhila kwa jamii na si lazima, n kwa taarifa hawa wapo kibiashara tu.

Well said kidum. Yeye kachangia nini uko kabla ya kuja kujudge wenzio wafanye kitu yeye hawezi. Kuishi na binadamu ni kazi
 
Hiyo sherehe inaonyeshwa chanel gan? Ila huyu anaishi maisha ambayo sidhan kama kuna msanii yeyote wa kibongo alishawahi kuishi.
 
c8ef89b79d30687f22fb440019176503.jpg
mume wake tiffa huyo #sameer unju #kiba junior
 
Najisikia aibu kwa kusoma huu ujinga.
Kweli watu wanajadili suala kama hili?Haya bwana.

Your so genius, umeligundua ilo, hivi vimekosekana vya kujadili kweli mpaka watu wazima kabisa wamjadili mtoto wa msanii ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom