TIGO badilikeni, kifurushi kimebadilishwa kwenda salio wakati sidaiwi

TIGO badilikeni, kifurushi kimebadilishwa kwenda salio wakati sidaiwi

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Inasikitisha kuleta humu lakin naona imekuwa kama mchezo unaojiriudia.

Ndugu zangu wa tigo haya mnayotufanyia hayapendezi.

Binafsi n mteja wenu wa siku nyingi miaka mingi. Hiki ndicho kinaendelea kuntokea mara ya nne leo.

Ninaponujua vifurushi vya internet mnaaniandikia kifurushi chako kimegeuzwa kuwa salio kulipia mkopo wako wa niwezeshe.

Huu mkopo toka Dec niliachana nao na sidaiwi. Nikawapigiia wakase ma hudaiwi. Then kwanini amjaniunga internet ya wiki mnapeleka kuwa salio. Majibu itakuwa tatizo la kifundi.

Hii ilikuwa jan 7 ikaja 11 ikaja leo 17 nimenunua gb ya 2100 cha week.

Gafla msg kifurushi kimebadilishwa kwenda salio. Kulipa deni. Nkapiga nadaiwa. Hapana. Sorry nenda kwenye salio pesa yako iko kule.

Nkauliza kwa nn muipeleke salio? Na sidaiwi? Na mmeandika mmepeleka kwenye salio kulipa mkopo ambao sina. Wangapi mnawafanyia hivi kwa siku tz?

Tatizo la kiufundi.

Nkawaza jaman wale wanaonunua vya 10000 nk. Gafla mnawatumia msg kama hii mnataka wanunue tena ama? Badiliken pls

Baada ya kujibiwa pesa iko kwenye salio kweli nkaikuta huko. Swali ile msg ya mkopo imetokea wapi?
 
Mimi walikuwa wanapeleka kwenda salio la kawaida kwamba kwa ajili ya kulipia mkopo lakini hawakati kitu na sidaiwi.
Kuepusha usumbufu nikawa nanunua muda wa maongezi kisha ndio niunge.
 
Back
Top Bottom