Tigo huu ni wizi mbaya sana mnafanya.

Si tigo hata NMB MOBILE nayo ni kipengele huduma ya mobile wakata 100 huku unaambiwa huduma haijakamilika Kuna watu watakufa vinywa wazi Kwa laana ya wizi unaofanyika ktk huduma hiyo
 
Kwa NMB Mobile niliamua kubadilisha laini kutoka voda kwenda tigo maana ni free katika ufikiaji. Voda unakuta ulitaka kununua umeme tu lakini muamala unafeli mara 2 na unakatwa 20
mara 2.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…