Unaweza kuta unajiunga vifurushi mara nyingi kumbe ni tatizo laoHuu mtandao dume Tigo leo unani? Tunajaribu kupiga simu kwa subscriber wa Tigo na haziendi kabisa.
Kunani Tigo?
Ushawahi kutumia Tigo 4G.????Hamia halotel aisee, speed ya 3G haina mfano!! Tigo 4G tupilia mbali ni geresha tu, hata voda vilevile
Tigo leo ni janga.Huu mtandao dume Tigo leo unani? Tunajaribu kupiga simu kwa subscriber wa Tigo na haziendi kabisa.
Kunani Tigo?
Ila UPONjooni Voda at least ubabaishaji wao sio mkubwa sana
Ni PM nikupe hiyo mimba changa ili ukidhi matakwa ya moyo wako sasa maana hakuna namna!πyan kama mie leo ndio wamenibooaaaaaaaa ningekuwa na mimba changa ingetoka kwa ajili ya kero zao
itume kwa BluetoothNi PM nikupe hiyo mimba changa ili ukidhi matakwa ya moyo wako sasa maana hakuna namna!π
Ok weka Bluetooth on tafadhali....πitume kwa Bluetooth