Tigo leo inaboa mfano wake hamna

Tigo leo inaboa mfano wake hamna

Mshiiri

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2008
Posts
2,012
Reaction score
512
Huu mtandao dume Tigo leo unani? Tunajaribu kupiga simu kwa subscriber wa Tigo na haziendi kabisa.

Kunani Tigo?
 
Hata meseji haziendi mi nilidhani ni kisimu change tu!!!
 
Huu mtandao dume Tigo leo unani? Tunajaribu kupiga simu kwa subscriber wa Tigo na haziendi kabisa.

Kunani Tigo?
Unaweza kuta unajiunga vifurushi mara nyingi kumbe ni tatizo lao
 
Tigo wanazingua sana leo, katika Dunia hii ya ushindani watapoteza wateja wengi mnoo, wasipokuwa makini.
 
Njooni Voda at least ubabaishaji wao sio mkubwa sana
 
LEO LAZIMA WATU WAIBIWE HELA TIGO PESA TIGO WAHUNI...

OVA
 
yan kama mie leo ndio wamenibooaaaaaaaa ningekuwa na mimba changa ingetoka kwa ajili ya kero zao
Ni PM nikupe hiyo mimba changa ili ukidhi matakwa ya moyo wako sasa maana hakuna namna!😉
 
Tigo nimeiwekaga ya kupigiwa simu tu.
Sio kwa matumizi mengine.
Poleni ving'ang'anizi [emoji12]
 
Leo wanaboa balaa.... ila siezi tumia airtel walioila ttcl au voda ya rostam. Halotel ni mpya jaribuni mlio na viherehere ikikaa sawa tutafata
 
Back
Top Bottom