tiGO mnatufukuza wateja wenu bila kujijua

Piga *148*01# ufurahie shilingi moja kwa sekunde kwenda mtandao wowote. Huna haja ya kujisajili..........Vigezo na masharti kuzingatiwa...........TIGO, EXPRESS YOURSELF na tunaomba msamaha kwa usumbufu wowote uliotokea.
Mh....!!
 
nikweli kabisa ata mm niona hyo k2 garama imepanda sana baada ya kusitisha zoezi la ukiweka buku wanakupa buku ss cjui wanarudisha garama zao? kwakweli nivile ninawa2 wengi tgo adhawais ningehamia airtel
 
Piga *148*01# ufurahie shilingi moja kwa sekunde kwenda mtandao wowote. Huna haja ya kujisajili..........Vigezo na masharti kuzingatiwa...........TIGO, EXPRESS YOURSELF na tunaomba msamaha kwa usumbufu wowote uliotokea.
hiyo ckwaajili ya kifurushi cha internet
 
ni kweli. Jana niliweka kiasi kidogo cha fedha-500 hivi nikapiga simu mbili jumla ya dk tatu na msg moja na hela ikaisha. Tigo express urself
 
b
ora umekuja hapa kwani ndi o tulikuwa tunawakimbia hivyo ati
 
MODs mnatupa uchungu sana ninapoona haka ka utepe hapa chini ka tigo.........hakuna namna nikaondoe kasionekane kwangu

I hate tiGO kama ninavyochukia "tigo"............huduma mbovu mpaka nimejiamulia kuhamia

Dawa yao ni kuhamia tu wabaki bila wateja tuone kama hawataboresha huduma zao......
 
kaaz kwelikweli,. Na huduma ya voice sms khaaa unalazimishwa tu.
 
Nimegundua hili jana na nipo mbioni sasa natafuta line ya maana sio hii matangazo shs 1, hali halisi shiling 3 maana yake ni nini??mara mia wangekuwa wakweli!kampuni kubwa mnakuwa waongo?reputation yenu mnaiharibu nawaambia!
 
BY THE WAY: ZAIN aka AIRTEL IMEKUWA MORE WORSE OVER COUPLE OF WEEKS NOW: MFANO JANA NIMEPIGA ZAIN to ZAIN NIKATUMIA DAKIKA 6, GHARAMA ILIKUWA 1060/=
HII MAANA YAKE NIMEKATWA 2.94/= KWA SEKUNDE MOJA:
USHAURI: VODA KWA VODA are relatively down. TIGO NA ZAIN are equally the same na wanatuibia.
 
Natoa Tamko:Express yourself Ukiona inakuuma sana hamia TTCL haraka.. Tigo express yourself not ourself
 
Hata mmi jana nimeshangaa, niliweka sh 5,000, nimeongea kama navyo ongea nikashangaa imeisha haraka, mbaka nikakopa, na sijalipa mbaka sasa ndio nataka nilipe mana nayo ya kukopa haikukaa kabisa, , leo ngoja nichunguze.
 
Tigo wanaboa kwa kweli, nilikopa ile huduma yao wakanipa shs 900 wakasema nitalipa 984! Ile napiga simu sijafika nusu simu ikakata kucheki salio kimeisha! Sikuongea hata dk moja. Baada ya kuwa na tyigo for more than 10 yrs nahama officially, upuuzi huu.
 
ahsante sana mr tigo...

Piga *148*01# ufurahie shilingi moja kwa sekunde kwenda mtandao wowote. Huna haja ya kujisajili..........Vigezo na masharti kuzingatiwa...........TIGO, EXPRESS YOURSELF na tunaomba msamaha kwa usumbufu wowote uliotokea.
 
huduma sms yenyewe wamepandisha zamani sms 15 ni 150 sasa hivi 200 bora nihamie tu..
 
Hata mmi jana nimeshangaa, niliweka sh 5,000, nimeongea kama navyo ongea nikashangaa imeisha haraka, mbaka nikakopa, na sijalipa mbaka sasa ndio nataka nilipe mana nayo ya kukopa haikukaa kabisa, , leo ngoja nichunguze.

mpaka na sio mbaka. Mother tongue eeh?
 
Shukrani kwa maelezo marefu yanayoelekea kujitosheleza.

Jambo moja kubwa na la msingi ambalo mnapaswa kulizingatia na kulifanyia kazi kwa haraka ni watu wenu wa customer care kutopokea simu, ama simu za customer care kutopatikana wakati mtu unapohitaji msaada.

Kuna watu bado hawana access na internet kwahiyo utaratibu wa kutuma complaints/ comments kwenye twitter ama facebook hautawanufaisha watu wengi. Kinachotakiwa ni kuboresha sana kitengo chenu cha customer care. Kwa jinsi kitengo hicho kilivyodorora na ukiongezea na matatizo ya network, ukiwa na line ya tigo pekee umeumia.

Lazima mbadilike vinginevyo tunahamia zantel!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…