tiGO mnatufukuza wateja wenu bila kujijua

Usitegemee furaha, mauzi nayo yapo. Jifunze kuvumilia.
Mböna sijakuona hata siku moja ukiwapongeza, au hawana mema?
 
mimi niko mtwara tangu mwanzo wa Sept mwaka huu. tiGO inasumbua network na ni mpaka uzime na kuwasha cm yako. Inakera sana. Sijui nyie mko wapi? Fikra zangu mnara wao wa huku ndiyo kimeo!
 
Leo asabuhi nilukuwa napiga simu kwa jamaa yangu sikuweza kumpata hewani.Cha ajabu nikaunganishwa na huduma ya kuacha ujumbe pale palsikujua ni nini kinaendelea kumbe jamaa tayari wanakata chao .Sasa kana sio wizi nini unampa mteja huduma ambayo hakuihitaji na bila idhini yake mnakata hela.
Ukipiga customer care 0713800800 ndio balaaa kabisa wanaanza kukata hewa pale tu unapojibiwa na sauti zao za kurekoti na utakuwa na bahati ya mtende kama simu yako itajibiw
Je huu sio wizi wadangajika wenzangu.na kama ni wizi tutaukomeshaje?
 
Bado una2mia Tigo 2,wenzio 2mehama cku miiing?
 
Namshangaa mwil mzma! Hamia airtel, mtandao unaolipa kodi....!
 


Umenifungua mkuu, nilikuwa sijui hilo, hii ina maana hata mimi wamenila sana!!!
 
Namshangaa mwil mzma! Hamia airtel, mtandao unaolipa kodi....!

Isue hapa ni kuelimisha watanzania jinsi tunavyoibiwa hata ukinishangaa haitoshi kwani bado ndugu zetu watazidi kuumizwa hebu fikiria mtanzania pale kijijini mama.baba umemnunulia simu muweze kuwasiliana anaweza kijua wizi hui?
kumbuka bado kuna zile kamari zao ni wizi mtupu nafikiria njia njema zaidi kukomesha hii isue naana serikali ya jk iko icu hajui kinachoendelea au wamanufaika kama kawaida yao jaaaaaani .
 
Nimechoka zaid pale wanaposema ni robo shilingi kuanza saa4 yan 0.25 kumbe wanakata robo tatu ya shiling yan 0.75!! Naihis wameshafiriska ndo mana wanafanya hv!
 
Hii mitandao yote wezi tu,
Hakuna hata wenye afadhali,
Tunaibiwa sana kisirisiri na hakuna wa kututetea,
Haiyumkini hata baadhi ya watu wa TCRA wako kwenye payroll za hii mitandao,
Otherwise watoto wao wanafanya kazi kwenye hii mitandao hivyo kujenga umoja usio wa halali ambao sisi walalahoi hatuwezi kuuvunja.
Kama vodacom yenyewe ndio hiyo ya kina makamba ambapo boss wa TCRA anachaguliwa na rafiki wa kina makamba unategemea nini?
Uswahiba unatutesa sana walalahoi,
Leo mwizi wa mabilion ya EPA anaitiwa chai Movenpick ili abembelezwe arudishe hela alizoiba, tutafika kweli!!??
 
Wananichosha pale wanaposena sh1/sec, vat exclusive. Kwanini usijumlishe na Vat umpe mteja hesabu kamili?. Huu ni wizi. Mitandao yote ni wezi. Serikali ni wezi watupu.
 
nenda pale fesibuku kwenye profile lao kawape kubwa kule.
 
Hawa jamaa ukijaza vocha wanadai wanakupa dakika sita za kupiga tigo kwenda tigo na tatu za kupiga mitandao mingine!!! Juzi nimjaza credits wakaniambia umepewa dk 15 kwenda mitandao mingine na za kupiga tigo kwenda tigo nyingi tu zaidi ya 20!!!!

Nikijiamini nina dakika za offer za kupiga kwenda mitandao mingine si nikampigia mtu wa mtandao mwengine nikiamini zile free credits ndo zitatumika!!!!Sikuamini kilichotoke ndugu zangu maana simu ilikata baada ya dakika kadhaa na nikiangalia salio sina hata senti!!!! Nilichoka, nikaamini kweli rahisi ni aghali kuliko ghali!!!! Sitaki hata kuusikia tena huo mtandao
 
Hamia airtel wewe ndugu jamaa na marafiki.,.,hata kama na wao wezi lakini angalau wao kodi yao inaonekana ......
 
It's true these guys wezi kweli, wanacho fanya sasa hivi wanakupa free minutes wakati wamepatisha gharama kwa dak 1 ni sh 100 hivi, instead ya sh 60, then wanadai wanakupa dak za bure ni UONGO MTUPU, njooeni AIRTEL HAWA NI WA UHAKIKA , kwa dak ni sh, 40 tu wakati mwingine hata chini ya hapo, Tigo wezi, ebu piga simu ucku uone utaliwa hela hadi ushangae, their adverts are in contrary of what wanafanya
 
Wananichosha pale wanaposena sh1/sec, vat exclusive. Kwanini usijumlishe na Vat umpe mteja hesabu kamili?. Huu ni wizi. Mitandao yote ni wezi. Serikali ni wezi watupu.

hii ndio kabisaaa inatia kinyaa. kwakweli wanatuibia sana na wanaendesha shughuli zao kibabe
 
Hamia airtel wewe ndugu jamaa na marafiki.,.,hata kama na wao wezi lakini angalau wao kodi yao inaonekana ......

Hakuna afadhali kaka,
Ukibaki Vogoda unamfaidisha fisadi tu, na ukihamia Airtel wanakolipa kodi kubwa fisadi huyohuyo atazifuata hukohuko TRA aziibe kwa njia nyingine tu kama Kagoda, n.k
 
Naona wote tunakubaliana kuwa jamaa ni wezi tena wizi wa mchana je hatuna njia yoyote ya kusimamisha huu wizi. Maana naambiwa hapa mitandao yote wezi mimi nimegundua huu wizi wa tigo .
Watanzania sasa ni wakati wa kudai haki zetu hata ikiwezekana kwa nguvu.maana serikali yetu imelala usingizi mzitooooo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…