tiGO mnatufukuza wateja wenu bila kujijua

wananikera hawa. Ukipiga cm haipatikana wakati ipo on. Hadi upige kwa mtandao mwengine.
 
Hamia airtel wewe ndugu jamaa na marafiki.,.,hata kama na wao wezi lakini angalau wao kodi yao inaonekana ......


Hawa wameua TTCL yetu, wametumia miundombinu yao kwa dezo kujipanua n.k sitaki kuwasikia kabisa
 
mwenyewe tigo imeshaniboa!dawa yao ndogo tuu!siwek credit naigeuza inakua ya kupokelea tuu!ukikopa ndio balaa!ukilipa den balance inapotea!
 
Hawa jamaa wanatuibia sana TCRA sijui kazi yao ni nini?
 

Yap, hata mimimimenitokea mara kadhaa, nathani wanafanya makusudi kabisa kuna umuhimu wa kutoa ripoti TCRA kuhusu hili jambo kwani wanachokifanya ni wizi mkubwa, kwa mtu mmoja unaweza ukaona kukatwa tsh 50/= ni kitu kidogo but wakifanya hivyo kwa watu laki moja tayari ni tsh.5,000,000/=.
Huu ni wizi wa waziwazi unaotakiwa kukemewa.
 
airtel is the best network kwa sasa,kila ukiongea ukimaliza unaona umetumia kias gan,wao ni shs 1 yakweli pale tu unapoanza kuongea,whle tigo inaanza aft dk ya 1. .artel tarif zipo down kuongea na mitandao mengine.
 
Usitegemee furaha, mauzi nayo yapo. Jifunze kuvumilia.
Mböna sijakuona hata siku moja ukiwapongeza, au hawana mema?
kwani kazi yao hasa nini mpaka wapongezwe!! yaani kazi yao ni kutoa huduma wakitoa huduma vizuri tuwapongeze ndivyo unavyomaanisha!!
 
Mwenzenu nimekuwa kwenye mahusiano mazuri na ya muda mrefu na tigo (I mean mtandao). Lakini siku za hivi karibuni, nahisi nitasitisha uhusiano huo na kuhamia either airtel au vodacom kutokana na sababu zifuatazo:

  1. Ingawa wamesema wametoa muda mara mbili, lakini wamepandisha mno gharama kupiga tigo kwenda tigo. gharama kwa sasa zinakaribia kufika shilingi mia per minute. i have experienced it several times.
  2. Mtandao unasumbua sana. Nakumbuka siku moja simu zilikuwa hazitoki siku nzima na kwa wale fans wa kuchart, sometimes utakuta sms haziendi ila zinaishia kuandika "message sending failed" at the moment wameshazihesabu kwenye gharama zao za sms
Sijajua wana JF wenzangu if you experience the same problem I get.
 
Mwenzenu nimekuwa kwenye mahusiano mazuri na ya muda mrefu na tigo (I mean mtandao). Lakini siku za hivi karibuni, nahisi nitasitisha uhusiano huo na kuhamia either airtel au vodacom kutokana na sababu zifuatazo:
.

Afadhali umeweka red maana nilipoona thread nilianza kuangalia je ni jukwaa la MMU au la JF doctors

anyway, pole kwa usmbufu...mie nlishawatema longi baada ya kuona longolongo nyingi na zaidi ilichangiwa na kupoteza simu najaribu ku-renew line mpaka nikachoka wakati wenzao voda was just within few hours....

Kwanza ni wezi na kodi hawalipi kiuhalali....ni kuwatema tu hawa tigo maana hakika ni "tigo"
 
kweli bora kuhama maana tigo ni wasumbufu sana siku hizi.
 
 
hata mimi nimekutana na tatizo hilo, hivyo dawa ni kuhama hawa jamaa ni wezi wa kiteknolojia na ni waongo mno.
 
mie mwenzako wiki iliyopita niliweka vocha wakaniambia imetumika nikaingiza mara kama mbili baadae wakani lock nikanunua nyingine nikajaribu tena lakini wapi! Mpaka sasa nimefungiwa sina mawasiliano wiki nzima. Ukipiga namba 100 haipatikani au pia unakatwa.Tigo wiz mtupu.
 

Na huu ndio useti na usoro wa "tigo"....i hate them kuliko maelezo, wezi sana tena ni wezi kuliko, kwa kuwa wanajua ugonjwa wao wameamua hadi huduma kwa wateja kukata ili kwamba watu wasiwapigie
 
Pole mkuu bado unahangaika kubanana kwenye kigari kidogo,wenzio tushahamia kwenye jibasi lakueleweka full kuchiachia msg 10 unapa 200 za bure, hamia na ww ufadi full kuchat!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…