tiGO mnatufukuza wateja wenu bila kujijua

tiGO mnatufukuza wateja wenu bila kujijua

Hujajua tu mwenzako yuko mauzoni hvo....sio tatizo la tigo wala nini. Hiyo ishu ya tigo imetumiwa tu kama kisingizio
 
mods msitoe hii kitu kwa sababu ipo kwenye jukwaa la ma celebriti ..na mkitoa sijui mtaakuwa mnataka tumuweke nani..diva kawachana tigo na kaiweka you tube mwenyewe...tigo tigo tigo ...whats wrong with tigo? but i love tigo as tigo
[video=youtube_share;WD_shIGT14s]http://youtu.be/WD_shIGT14s[/video]
Mashalahh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

tigo blaa blah blah the beatch just selling them silly boobs..... get a life o u need some ....
 
tigo blaa blah blah the beatch just selling them silly boobs..... get a life o u need some ....
hahaaaa ..kausha mazee...but mhhh those boobs ..my hands sijui kama zitakuwa na subira
 
mbona ni system ya kawaida sema ugeni wa wabongo ndo unasababisha malalamiko.Mtu hapatikan acha ujumbe issue simple hata USA hii ipo.I love tigo

MKUU, si unajua tena simu (calls) zetu wabongo! Utasikia; "nimekupigia nikusalimie!" shenzi taipu! Kwa hiyo, mtu kama huyo hawezi kuona umuhimu wa kuacha ujumbe!
 
yani tIGO wanatekeleza u_tIGO wao kwa vitendo

Yaani wamejitigolize wenyeweeeeeeeeeeee
 
Tigo aside,

Silent "h" anaijua huyu Diva ? Honestly?

Overall dada analeta changamoto nzuri kwa makampuni kuhusu customer service (despite rambling, too much cleavage and repetition).

Nashangaa kwa nini hakuna ya TANESCO.
 
mbona ni system ya kawaida sema ugeni wa wabongo ndo unasababisha malalamiko.Mtu hapatikan acha ujumbe issue simple hata USA hii ipo.I love tigo

wewe acha ulimbukeni kama usa ipo na sis tuige hauoni ni jamii mbili tofauti..na kule wanakuambia bonyeza namba flani kuacha ujumbe hawa wezi wao moja kwa moja tu wanakuunganisha...wezi tigo!
 
Tigo aside,

Silent "h" anaijua huyu Diva ? Honestly?

Overall dada analeta changamoto nzuri kwa makampuni kuhusu customer service (despite rambling, too much cleavage and repetition).

Nashangaa kwa nini hakuna ya TANESCO.
she has to turn to Tanesco pia..may be hizi sauti nyororo watazisikiliza
 
It's true these guys wezi kweli, wanacho fanya sasa hivi wanakupa free minutes wakati wamepatisha gharama kwa dak 1 ni sh 100 hivi, instead ya sh 60, then wanadai wanakupa dak za bure ni UONGO MTUPU, njooeni AIRTEL HAWA NI WA UHAKIKA , kwa dak ni sh, 40 tu wakati mwingine hata chini ya hapo, Tigo wezi, ebu piga simu ucku uone utaliwa hela hadi ushangae, their adverts are in contrary of what wanafanya

Mkuu na mimi ni muathirika wa hili jambo.Nimekuwa najaribu kupiga tiGO customer care wiki mbili sasa bila mafanikio.Nilitaka kufahamu tariffs zao sasa hivi hasa baada ya kuanza haya mambo ya salio mara mbili,jamaa siyo siri wamepandisha gharama without prior notice kweli tunaibiwa!!
 
Kila mtandao sasa mtauponda,mlianza na aitel,voda sasa tigo. Mi naona wote wezi tu,kama nchi yetu ilivyojaa majambazi.
 
Back
Top Bottom