Tigo mnatunyonya sana na MB zenu...

Tigo mnatunyonya sana na MB zenu...

mangosongoo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2016
Posts
256
Reaction score
463
Tigo Tanzania mmezidi kutunyonya na bando zenu, hawa jamaa wana calculate vip hizi MB? Haiwezekani hata robo saa haijaisha GB1 imeisha..!

Hivi tatizo nini hii kitu imeanza kujitokeza wiki sasa, Tigo embu jitafakarini bwana...
 
Ujitafakkari pia na wewe..
unanunua bando sungura halafu matumizi tembo
cheki mzigo huu.
Screenshot_20220626-232912.png
 
Hao Tigo ni WEZI kama tu wengine. Wanaiba data za wateja wao kwa kuzimaliza ili ununue tena na tena.

Tanzania tunaibiwa sana na haya makampuni uchwara ya simu
 
Ndio maana wanasema tuhamie Burundi nilipita Malawi kwatcha 2000 unapata 4gb aisee haziishi na hawajui hata swala la kuzima data kama Home na pia utaangalia vitu vingi live ukikaa wiki ndio unapata meseji ya zimetumika 2gb nikabaki kusema tunavyonunua data Tanzania na hata matumizi hakuna unashangaa zimeisha tunaibiwa sana ni vile hakuna wa kuwagua hiyo Malawi Kwatcha 2000 ni sawa na Tsh 4000...
 
Yaani Malawi kwacha ina thamani Tanzania shilling imeoza kweli Ccm ni janga kubwa kuliko tsunami
 
Tigo tanzania mmezidi kutunyonya na bando zenu ,hawa jamaa wana calculate vip hizi MB ?haiwezekan hata robo saa haijaisha GB1 imeisha..!
Ivi tatizo nn hii kitu imeanza kujitokeza wiki sasa, tigo embu jitafakarini bwana...
Hata voda tuliwasema hivi hivi lkn wapi. Chek matumiz yako.
Updates ... backups...
 
Yaani Malawi kwacha ina thamani Tanzania shilling imeoza kweli Ccm ni janga kubwa kuliko tsunami
Na hapo imepungua sana ilikua 3 pana Nchi ukizisikia utadhani wapo chini sana huko Brantire na Lilongwe wahuni wanakula bata sana hata nyumba zao zimechukua eneo kubwa wale kodi ya gari haizidi milioni mbili ya kitanzania kwa hizi ndogo maroli ilikua kama 8m mpaka 10m za kitanzania wale wananunua gari aina yeyote hapo Lilongwe utadhani wao bandari ni ya kwao mafuta Malawi yanauzwa sawa na Tsh 2740 Petrol na yamepanda hapo karibuni diesel ipo 2960..
 
Rostam alikuwa champion kutaka bei ya data iongezwe ili mshindwe kununua, kwa sababu mnatumia muda mwingi kutukana mitandaoni.
 
Back
Top Bottom