jr.kiyn
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 789
- 4,872
Hawa ndio hawafai kabisa nimesajili line mpya kwa mara ya kwanza nikaingiza salio tu LA kawaida,nikaitoa line pembeni,kesho yake najisemea akiba haiozi nijiunge MB na hiyo line nacheki salio kitu kinasoma shilingi 5 pekee ndio imesalia.Halotel nimewavulia kofia ..