mangosongoo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2016
- 256
- 463
Haizidi HallotelTigo tanzania mmezidi kutunyonya na bando zenu ,hawa jamaa wana calculate vip hizi MB ?haiwezekan hata robo saa haijaisha GB1 imeisha..!
Ivi tatizo nn hii kitu imeanza kujitokeza wiki sasa, tigo embu jitafakarini bwana...
Halotel nimewavulia kofia ..Haizidi Hallotel
Yaani Malawi kwacha ina thamani Tanzania shilling imeoza kweli Ccm ni janga kubwa kuliko tsunamiNdio maana wanasema tuhamie Burundi nilipita Malawi kwatcha 2000 unapata 4gb aisee haziishi na hawajui hata swala la kuzima data kama Home na pia utaangalia vitu vingi live ukikaa wiki ndio unapata meseji ya zimetumika 2gb nikabaki kusema tunavyonunua data Tanzania na hata matumizi hakuna unashangaa zimeisha tunaibiwa sana ni vile hakuna wa kuwagua hiyo Malawi Kwatcha 2000 ni sawa na Tsh 4000...
Hata voda tuliwasema hivi hivi lkn wapi. Chek matumiz yako.Tigo tanzania mmezidi kutunyonya na bando zenu ,hawa jamaa wana calculate vip hizi MB ?haiwezekan hata robo saa haijaisha GB1 imeisha..!
Ivi tatizo nn hii kitu imeanza kujitokeza wiki sasa, tigo embu jitafakarini bwana...
Na hapo imepungua sana ilikua 3 pana Nchi ukizisikia utadhani wapo chini sana huko Brantire na Lilongwe wahuni wanakula bata sana hata nyumba zao zimechukua eneo kubwa wale kodi ya gari haizidi milioni mbili ya kitanzania kwa hizi ndogo maroli ilikua kama 8m mpaka 10m za kitanzania wale wananunua gari aina yeyote hapo Lilongwe utadhani wao bandari ni ya kwao mafuta Malawi yanauzwa sawa na Tsh 2740 Petrol na yamepanda hapo karibuni diesel ipo 2960..Yaani Malawi kwacha ina thamani Tanzania shilling imeoza kweli Ccm ni janga kubwa kuliko tsunami
Halotel ndio wapuuzi kabisa bora hao tigo.Haizidi Hallotel
Wapi RostamHao Tigo ni WEZI kama tu wengine. Wanaiba data za wateja wao kwa kuzimaliza ili ununue tena na tena.
Tanzania tunaibiwa sana na haya makampuni uchwara ya simu
Kasi ya konokonojaribu ttcl