Achana kabisa na TIGO.Ni majambazi.Tigo Tanzania mmezidi kutunyonya na bando zenu, hawa jamaa wana calculate vip hizi MB? Haiwezekani hata robo saa haijaisha GB1 imeisha..!
Hivi tatizo nini hii kitu imeanza kujitokeza wiki sasa, Tigo embu jitafakarini bwana...
Mwenzako anazungumzia ulaji mbaya wa bando wa hayo makampuni wewe unakuja na majingambo, sidhani kama hiyo ni sawa mkuu.Ujitafakkari pia na wewe..
unanunua bando sungura halafu matumizi tembo
cheki mzigo huu.
View attachment 2273662
Mbona haujaziba vizuri hiyo namba?Ujitafakkari pia na wewe..
unanunua bando sungura halafu matumizi tembo
cheki mzigo huu.
View attachment 2273662
Kwa upande mwingine serikali pia ya kulaumiwa,,,kama serikali yenyewe inawapandishia makodi unadhani bei za vifurushi vitabaki kama mwanzo!! Acha walegezewe ili vifurushi vishuke bei. Mimi nafikiri ni hilo ndio sababu ya wao kupandisha mkuu,, au wewe unalionaje!!Mwanzoni makampuni ya simu yalikuwa yanajipangia, tukalalamika, wakapangiwa bei
mimi nilikuaga tigo na namba yangu ilikuwa 0653808003...lakini niliachana nao miaka kama 6 hivi na sasa niko kwa airtellTigo Tanzania mmezidi kutunyonya na bando zenu, hawa jamaa wana calculate vip hizi MB? Haiwezekani hata robo saa haijaisha GB1 imeisha..!
Hivi tatizo nini hii kitu imeanza kujitokeza wiki sasa, Tigo embu jitafakarini bwana...
Hata halotel nao vile vile. Wanakera mnoooo.hawa jamaa hapana
afu ukibakiza MB 20 huezi zitumia [emoji2][emoji2] sijuui kwanini [emoji28]
Hapo ndo kiboko yaan.Msiwasahu voda kwa wizi
Ujitafakkari pia na wewe..
unanunua bando sungura halafu matumizi tembo
cheki mzigo huu.
View attachment 2273662