Tigo mnatunyonya sana na MB zenu...

Halotel nimewavulia kofia ..
Hawa ndio hawafai kabisa nimesajili line mpya kwa mara ya kwanza nikaingiza salio tu LA kawaida,nikaitoa line pembeni,kesho yake najisemea akiba haiozi nijiunge MB na hiyo line nacheki salio kitu kinasoma shilingi 5 pekee ndio imesalia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…