Tigo na Yas, Lila na fila

Tigo na Yas, Lila na fila

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Tunaweza kudhani ni coincidence lakini kuna vitu vilo kiroho zaidi

Mtandao wa Tigo ulipata umaarufu hasi baada ya kubadili jina lake la zamani la Buzz lililotoka kubadilisha na Mobitel

Tigo ilifika mahali kulitamka mbele ya watu ilikuwa ni ukakasi kwakuwa lilinasibishwa na kafanya mapenzi kinyume na maumbile

Sasa limebadilishwa na kuwa Yas .. Watu wameshafukunyua na kulitafsiri kuwa lina vinasaba na ushoga.

Tayari linataka kutoholewa liitwe Nyashi ambapo kwa Wakenya nyasi ni makalio.

Je, wamiliki wataweza kujinasua kwenye hili tope la umaarufu hasi?
 
Hii YAS Siyo wanaleta ushoga TZ
yas-queen.gif
 
Hapana hill jina lipo mitandaoni na halina tafsiri nzuri kwa kizazi kinachojali uzazi

Kwa namna walivyotohoa kutoka katika mazingira hayo hatarishi

Namna pekee ni kutoungana nao maana inaonesha dhahiri hawa ni wanaharakati wa ndoa za jinsia moja mkuu.

Ningeshauri pia serikali mbali na kujali kulipwa kodi tu haitoshi

Waangalie kwa jicho la tatu dhamira yauwekezaji wa hawa tu aina hii.
 
Acha kutangaza mambo hasi, angalia mazuri ndo uyalete humu. Wewe mkubwa ujue watoto wanataka mwongozo toka kwako Mshana Jr
1. Hapa kuna mtoto gani?
2. Ni kipi nimeandika cha kupotosha?
3. Je unaijua sheria ya msumeno ama sime?
4. Hata mabaya na yanayotatiza lazima yasemwe wazi lakini kwa njia sahihi
5. JF slogan: where we dare to talk openly 💪🏿🙏🏾
 
Back
Top Bottom