Wapigie sasa uwaeleze , then watakwambia nini tatizo mkuuKuna kitu huwa sikielewi kuhusu tigo, kila siku kuna pesa Fulani wananikata, kama shilingi 50-150 kiasi ambacho huwezi ku-notice kwa upesi, sijawahi kujiunga na huduma yao yoyote sio nyimbo wala kingine chochote kile.....
Hii mitandao ya simu yapaswa kumulikwa sana,hayo malalamiko mimi pia ninayo najiandaa kuandika barua TCRA mana huwez kua unakatwa 150/= sababu zake haziko wazi na ukizingatia sijawahi jiunga na huduma iwayo yoyote ileKuna kitu huwa sikielewi kuhusu tigo, kila siku kuna pesa Fulani wananikata, kama shilingi 50-150 kiasi ambacho huwezi ku-notice kwa upesi, sijawahi kujiunga na huduma yao yoyote sio nyimbo wala kingine chochote kile.....
Kuna kitu huwa sikielewi kuhusu tigo, kila siku kuna pesa Fulani wananikata, kama shilingi 50-150 kiasi ambacho huwezi ku-notice kwa upesi, sijawahi kujiunga na huduma yao yoyote sio nyimbo wala kingine chochote kile.....
Utakuwa unakatwa gharama za kutojiunga na huduma yeyote. Hii inaitwa failure to comply chargesKuna kitu huwa sikielewi kuhusu tigo, kila siku kuna pesa Fulani wananikata, kama shilingi 50-150 kiasi ambacho huwezi ku-notice kwa upesi, sijawahi kujiunga na huduma yao yoyote sio nyimbo wala kingine chochote kile.....
Aah wapi mi mbona bado inaniambia huduma hii inapatikana maeneo ya chuoni tuNaona tigo wameachia vifurushi vya university kujiunga popote hata kama wewe si mwanachuo uliesajili namba yako kama mwanafunzi...
Kwasasa unaweza unga university offer hata ukiwa chumbani kwako.
*148*01*20#
Teh teh teh teh teh! Aiseee, kwel sasaiv kukatwa lazimaUtakuwa unakatwa gharama za kutojiunga na huduma yeyote. Hii inaitwa failure to comply charges
Naona tigo wameachia vifurushi vya university kujiunga popote hata kama wewe si mwanachuo uliesajili namba yako kama mwanafunzi...
Kwasasa unaweza unga university offer hata ukiwa chumbani kwako.
*148*01*20#
Hata watu wa Voda unaunga popote pale ulipo kama ulijiandikisha kama mwanachuo. *149*42# fuata maelekezo. Raha kweli kweliNaona tigo wameachia vifurushi vya university kujiunga popote hata kama wewe si mwanachuo uliesajili namba yako kama mwanafunzi...
Kwasasa unaweza unga university offer hata ukiwa chumbani kwako.
*148*01*20#