Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,459
- 100,799
Nimefanya kama alivyonielekeza mdau mmoja hapo juu, nimetuma neon kujitoa, then from now on ikitokea tena napoga screenshot kisha nahifadhi, hakika nitawashitakiFanya uchunguzi na weka ushahidi then unaenda TCRA, wanatakiwa wakulipe gharama za usumbufu na kukuibia.