Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,534
- 63,061
Sijui wanatumia vigezo gani kumpa mtu hii offer...
Ila nimekuwa nikitumia hii offer toka ianzishwe almost 2 years now....sasa Leo wametuma text kuwa niunge popote......
Labda ikute wameangalia watu waliotumia kwa muda mrefu afu wanawapa mtonyo