MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,952
- 10,513
samahani huduma hii inapatikana maeneo ya MSALANI TUNaona tigo wameachia vifurushi vya university kujiunga popote hata kama wewe si mwanachuo uliesajili namba yako kama mwanafunzi...
Kwa sasa unaweza unga university offer hata ukiwa chumbani kwako.
*148*01*20#
========
Sasa vifurushi vya CHUO vimeboreshwa zaidi na unaweza kununua vifurushi popote ulipo, furahia hadi GB 1 kwa kifurushi cha wiki, Piga *148*00# chagua OFA MAALUM