Tigo: Sasa unaweza kuunga vifurushi vya chuo popote

Sio Kweli Wewe Utakuwa Upo Eneo La Chuo Ila Haujajua
Sasa vifurushi vya CHUO vimeboreshwa zaidi na unaweza kununua vifurushi popote ulipo, furahia hadi GB 1 kwa kifurushi cha wiki, Piga *148*00# chagua OFA MAALUM
 
Ngoja nijaribu kasha nifuatilie kwa karibu
 
Hii mitandao ya simu yapaswa kumulikwa sana,hayo malalamiko mimi pia ninayo najiandaa kuandika barua TCRA mana huwez kua unakatwa 150/= sababu zake haziko wazi na ukizingatia sijawahi jiunga na huduma iwayo yoyote ile
Nadhani tunafafa madai yetu, sijawahi na huwa sina hata mzuka wa kujiunga na kitu chochote kile Zaidi ya huduma ambazo nazilipia, Basiiii
 
jamani mii nipo jirani na kituo cha polisi, nimejiunga imekubali, naomba mjaribu!
 
Kitu kimenasa wakuu.....


Maisha yanakuwa simple sasa, If you are my fella switch on yo Tigo number.....
 
piga *148*00# halafu uchague Ofa maalum utaona university offer
 
Kuna kitu huwa sikielewi kuhusu tigo, kila siku kuna pesa Fulani wananikata, kama shilingi 50-150 kiasi ambacho huwezi ku-notice kwa upesi, sijawahi kujiunga na huduma yao yoyote sio nyimbo wala kingine chochote kile.....
Fanya uchunguzi na weka ushahidi then unaenda TCRA, wanatakiwa wakulipe gharama za usumbufu na kukuibia.
 
UPO CHUONI WEWE
Sasa ningekua chuo haikua na haja ya kule hii thread hapa..na tigo ndio wametuma sms kuhusu offer yao ya university kwamba imeboreshwa. .anyway kama imegoma kwako pole mkuu
 
Hiko kifurush cha ofa maalum huwa ni vya siku 2 za weekends na unakatwa 999Tshs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…