Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,459
- 100,799
Nimefanya kama alivyonielekeza mdau mmoja hapo juu, nimetuma neon kujitoa, then from now on ikitokea tena napoga screenshot kisha nahifadhi, hakika nitawashitakiFanya uchunguzi na weka ushahidi then unaenda TCRA, wanatakiwa wakulipe gharama za usumbufu na kukuibia.
Hata mm bado inanijibu huduma inapatikana maeneo ya chuo tuPole sana mkuu..kwangu mimi inakubali
Sasa ningekua chuo haikua na haja ya kule hii thread hapa..na tigo ndio wametuma sms kuhusu offer yao ya university kwamba imeboreshwa. .anyway kama imegoma kwako pole mkuu
vifurushi maalumu vyA tigo havifanani kwa kila mtu. kuna maeneo ukikaa unapata vifurushi fulani na maeneo mengine huvipati.Basi labda wawe selective kwa walio watumia text tu...mimi nimejaribu imekubal boss soon after kutumiwa hiyo sms
Sasa vifurushi vya CHUO vimeboreshwa zaidi na unaweza kununua vifurushi popote ulipo, furahia hadi GB 1 kwa kifurushi cha wiki, Piga *148*00# chagua OFA MAALUMvifurushi maalumu vyA tigo havifanani kwa kila mtu. kuna maeneo ukikaa unapata vifurushi fulani na maeneo mengine huvipati.
Nimechek namba yangu imekua registered but sijawahi sajil university hata siku moja japo ni mwanachuo.hii ni kwa wale ambao wamesajiliwa Na hii offer wanaweza kujiunga mahali popte Ile wengine hadi chuon ukitaka kuthibitisha hilo piga *148*01*20# then chagua namba 5 ujiangalie kama umesajiliwa ama hapna
Sijawahi sajili tigo mkuu..nilisajil voda tu na halotel ninayo lain ya chuo.kcamp uliwah kujisajil na hii huduma pind upo chuo?
Naona tigo wameachia vifurushi vya university kujiunga popote hata kama wewe si mwanachuo uliesajili namba yako kama mwanafunzi...
Kwa sasa unaweza unga university offer hata ukiwa chumbani kwako.
*148*01*20#
========
Sasa vifurushi vya CHUO vimeboreshwa zaidi na unaweza kununua vifurushi popote ulipo, furahia hadi GB 1 kwa kifurushi cha wiki, Piga *148*00# chagua OFA MAALUM
hamna namna lazma akatweTeh teh teh teh teh! Aiseee, kwel sasaiv kukatwa lazima
Tigo wamewaogopa Halotel ndio maana nao wametuletea KITONGA tuteleze popote.Naona tigo wameachia vifurushi vya university kujiunga popote hata kama wewe si mwanachuo uliesajili namba yako kama mwanafunzi...
Kwa sasa unaweza unga university offer hata ukiwa chumbani kwako.
*148*01*20#
========
Sasa vifurushi vya CHUO vimeboreshwa zaidi na unaweza kununua vifurushi popote ulipo, furahia hadi GB 1 kwa kifurushi cha wiki, Piga *148*00# chagua OFA MAALUM
Hata watu wa Voda unaunga popote pale ulipo kama ulijiandikisha kama mwanachuo. *149*42# fuata maelekezo. Raha kweli kweli