mkuu unaweza weka speed test ya airtel tuone hapa jukwaani?Nimekudharau Kweli Mkuu. Yaani Ujanja Wote Huo Kumbe Unatumia Huo MTANDAO? Mtu Ambaye Yuko SMART KICHWANI Na Gentleman Wa KUTUKUKA Ni Lazima Tu Atakuwa Anautumia MTANDAO BORA KABISA Na Ambao GENTAMYCINE Anautumia Wa AIRTEL " The Smartphone Network ".
Mimi sijaunganishwa na napata popote mkuu..ila wamenitumia sms kwamba kwasasa naweza jiunga eneo lolotehii offer ya kujiunga popote lazima uende chuo ukaandike namba yako kama mwanafunzi wa chuo tena na kitambulisho ndo watakuunganisha uweze kujiunga popote
na ili upate GB 1 lazima uwe umeunganishwa kama mwana chuo
hujasajili line na kitu kinachoonesha wewe ni mwanachuo?Mimi sijaunganishwa na napata popote mkuu..ila wamenitumia sms kwamba kwasasa naweza jiunga eneo lolote
Brothers hii sio offa maalumu mkuu..Mkuu CHIEF MKWAWA kafafanua vizuri apo juu ieleweke option za bundles za offer maalamu haziko sawa kwa wateja wote zinatofautiana na zina vary kutokana na location customer aliopo
Kwa upande wangu hakuna halafu mkuu kcamp kuna bundles ni General hizo everywhere ziko supported but kuna bundles unazoweza kujiunga kutokana na location ww uko dar umepewa ofa ya kujiunga vest offer bila kuwepo nearby chuo haimaanishi mtu aliepo Muleba ata pata pia hio permission hapanaBrothers hii sio offa maalumu mkuu..
Hata kupata hii huduma sikuhtaji kwenda kweny offa maalumu
Anyway kuna offer maalumu kweny university offer?
Anyway inawezekana lakini...Kwa upande wangu hakuna halafu mkuu kcamp kuna bundles ni General hizo everywhere ziko supported but kuna bundles unazoweza kujiunga kutokana na location ww uko dar umepewa ofa ya kujiunga vest offer bila kuwepo nearby chuo haimaanishi mtu aliepo Muleba ata pata pia hio permission hapana
AsanteAnyway inawezekana lakini...
Sawa mkuu pamoja
Pumbavu zao!, nimefuja pesa yangu kwa ujinga wa kusikia!!. Eti mpaka nijisajili nikiwa chuoni: Mbona airtel wanatoa kifurushi cha "Uni255" kwa mtu yeyote bila kujali usajili au mahali alipo. Sasa mabwege tigo masharti zaidi hata ya waganga wa kienyeji, vocha moja nimeweka kwenye simu yangu na nyingine nimemrushia rafiki yangu bila kumwambia kilichonifanya nimrushie ile vocha. Wee jamaa umenikwaza sana!, bora ningenunua vocha ya airtel ningeendelea kudownload vichekesho!!Hya mkuu utaleta feedback
Kweli aiseeeMhhhh...sidhani kama ni kweli maana walianza kubana hadi uandikishwe na uwe ni mwanachuo.
Polee mkuu wenzako znakubali ukuPumbavu zao!, nimefuja pesa yangu kwa ujinga wa kusikia!!. Eti mpaka nijisajili nikiwa chuoni: Mbona airtel wanatoa kifurushi cha "Uni255" kwa mtu yeyote bila kujali usajili au mahali alipo. Sasa mabwege tigo masharti zaidi hata ya waganga wa kienyeji, vocha moja nimeweka kwenye simu yangu na nyingine nimemrushia rafiki yangu bila kumwambia kilichonifanya nimrushie ile vocha. Wee jamaa umenikwaza sana!, bora ningenunua vocha ya airtel ningeendelea kudownload vichekesho!!
Mmejisajili: hakuna kitu huko!. MM pia airtel inakubali bila hata kupigiwa promo humu niilipoPolee mkuu wenzako znakubali uku
Mkuu mimi sijasajilMmejisajili: hakuna kitu huko!. MM pia airtel inakubali bila hata kupigiwa promo humu niilipo