Tigo: Sasa unaweza kuunga vifurushi vya chuo popote

samahani huduma hii inapatikana maeneo ya MSALANI TU
 
Si kweli nhs ni baadhi home dogo kwake flesh kwangu inazingua
 
Sasa tigo wao unaunga popote bila kujiandikisha .
Tho voda nimeshajiandikisha chuo pale.

huwezi jiunga mahali popote kama hujajiandikisha, we sema unabahatisha maeneo yenye network ya kujiunga
 
kaka nahisi utakua eneo la chuo ila wewe bado hujafahamu...hii huduma haipo kama hujajiunga chuo...pia kwa wale waliojiunga pia wanatatizo la kujiunga endapo wapo mbali na chuo....jaribu vizuri...utaonaaa
 
Sipo eneo la chuo. .nipo kibaha na hakuna chuo hapa chochote sasa sijui unataka kusemaje
Refer sms ta tigo walio nitumia labda utaweza kuelewa namaana gani.
 
Laini yoyte ile jamani mimi Naunganisha hata iwe ya zamani vp wew tuma namba yako uone kaz yngu
 
Hakuna kifurushi cha GB 1 acha uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…