tiGO wajitenga na sakata la kuvuja Taarifa za Tundu Lissu. Wasema mmiliki wa sasa ni mwingine si yule wa nyakati za shambulio!

Ulimsikiliza hotuba yake yote jana????
 
Hiyo inawahusu tuu, mradi ni kampuni ya Tigo!
Tigo sio kampuni ni brand name tu

Tofautisha brand name na kampuni
Uingereza imeshitakiwa kampuni sio brand name

Ni sawa na wewe kampuni iliyoshitakiwa ni mo Company limited halafu wewe unasema utaidai mo juice wakulipe fidia ndicho Lisu anafchofanya ndio maana Tigo wameruka kesi kuwa haiwahusu wao ni brand name sio kampuni
 
Wewe
Wewe acha ujinga sio brand ni kampuni,kama huna hoja nyamaza kuliko kuandika Upumbavu wako,unasomwa ujue kwamba kuna mburula humu!
 
Darasani uliwahi kusoma walau Business Laws? 😂
 

Ujue kwamba mmiliki wa sasa anammiliki mualifu.
Ni sawa na kufanya ualifu ukiwa mkristo baadaye ukawa muislam ukasema ualifu hio haunihusu kwa sababu kwa sasa mimi ni muislam.
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…