Inabaki kama wenye kesi wamezuia isiuzwe mfano ni kesi ya Embassy Hotel na Motel Agip HotelInamaana Kampuni ikiuzwa ikiwa na madeni, au kesi Mahakamani!! vinayeyuka?
Ikiuzwa kama hakuna kizuizi mdai amtafute huyo muuzaji huko uchochoroni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inabaki kama wenye kesi wamezuia isiuzwe mfano ni kesi ya Embassy Hotel na Motel Agip HotelInamaana Kampuni ikiuzwa ikiwa na madeni, au kesi Mahakamani!! vinayeyuka?
Ulimsikiliza hotuba yake yote jana????Lissu, Lissu
Tigo ilishauzwa kitambo kama haujui ,
Mmiliki mpya wa Tigo na zantel ni Rostam Abdulasul Aziz ambae hahusiki na lolote lile ,
Sasa bwana lissu ataishtaki kampuni hewa ambayo haipo
Kama lissu alikua anategemea mabilioni ya serikali ajue keshakosa muda mrefu.
Lissu ajue kabisa , kwake na amsterdam wake sio ushindi bali ni maumivu,
Tigo hawahusiki na shambulio lake kwa namna yoyote ile ,
Rostam alikwaa umiliki wa hizo kampuni baada ya kuuza hisa zake za Vodacom miaka ya magufuli,
Lissu bye bye
Kesi ikifika mwisho na tigo ikashindwa inaweza kutokea kwamba kuna mtu inabidi atumikie kifungo?Imeshtakiwa kampuni sio wamiliki
Tigo sio kampuni ni brand name tuHiyo inawahusu tuu, mradi ni kampuni ya Tigo!
Haviyeyuki mkuu,kampuni inapouzwa inaridhi wafanyakazi,Faida,madeni nk.Inamaana Kampuni ikiuzwa ikiwa na madeni, au kesi Mahakamani!! vinayeyuka?
Tigo sio kampuni wataendaje mahakamani?Maelezo yao ni mazuri, ila wakayatolee mahakamani.
Wewe acha ujinga sio brand ni kampuni,kama huna hoja nyamaza kuliko kuandika Upumbavu wako,unasomwa ujue kwamba kuna mburula humu!Tigo sio kampuni ni brand name tu
Tofautisha brand name na kampuni
Uingereza imeshitakiwa kampuni sio brand name
Ni sawa na wewe kampuni iliyoshitakiwa ni mo Company limited halafu wewe unasema utaidai mo juice wakulipe fidia ndicho Lisu anafchofanya ndio maana Tigo wameruka kesi kuwa haiwahusu wao ni brand name sio kampuni
Darasani uliwahi kusoma walau Business Laws? 😂Lissu, Lissu
Tigo ilishauzwa kitambo kama haujui ,
Mmiliki mpya wa Tigo na zantel ni Rostam Abdulasul Aziz ambae hahusiki na lolote lile ,
Sasa bwana lissu ataishtaki kampuni hewa ambayo haipo
Kama lissu alikua anategemea mabilioni ya serikali ajue keshakosa muda mrefu.
Lissu ajue kabisa , kwake na amsterdam wake sio ushindi bali ni maumivu,
Tigo hawahusiki na shambulio lake kwa namna yoyote ile ,
Rostam alikwaa umiliki wa hizo kampuni baada ya kuuza hisa zake za Vodacom miaka ya magufuli,
Lissu bye bye
Tigo sio kampuni wataendaje mahakamani?
Ni sawa na juice inatwa choko mumiliki anaitwa Joshua halafu unataka choko aje mahakamani wakati choko sio kampuni ni jina la juice sio kampuni
Iliyouzwa ni kampuni mama Siyo TIGO 🤣Wewe
Wewe acha ujinga sio brand ni kampuni,kama huna hoja nyamaza kuliko kuandika Upumbavu wako,unasomwa ujue kwamba kuna mburula humu!
Lete hoja kisomi 🐼Hamna kesi hapo
Hamna kesi Sina mda wa kupotezaLete hoja kisomi 🐼
HayaHamna kesi Sina mda wa kupoteza
Hamna kesi hapo tigo ni brand sio kampuni hivi shule mlienda kusomea ujingaJamanii kama hujui kitu Bora unyamaze,hii ya kuchangia utumbo ni kujiaibisha,Tigo ni kampuni ya simu sio brand ni hii kesi inawahusu,tusikae kishabiki.
Tatizo linapokuja ni kwamba inakuwa ngumu kuishitaki Tigo kwasababu zifuatazo:
Taarifa za Lissu zilivuja kipindi ambacho kampuni mama iliyomiliki Tigo ni "Millicom International Cellular public limited company"
Mwaka 2022 hadi sasa kampuni mama mmiliki wa Tigo ni "Honora Tanzania Public Limited company"
Ni sawa na kushambuliwa na jirani, akihama nyumba ni ngumu kuishtaki nyumba yenye jirani mpya,
Na Zantel ni brand 😂🐼Hamna kesi hapo tigo ni brand sio kampuni hivi shule mlienda kusomea ujinga
AiseeTatizo linapokuja ni kwamba inakuwa ngumu kuishitaki Tigo kwasababu zifuatazo: