Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Hamna kesi hapo wewe unapoteaa mda kuandika gazetiUjue kwamba mmiliki wa sasa anammiliki mualifu.
Ni sawa na kufanya ualifu ukiwa mkristo baadaye ukawa muislam ukasema ualifu hio haunihusu kwa sababu kwa sasa mimi ni muislam.
Anajichoshaaaa tu tigo 3yrs back imeuzwaaaTatizo linapokuja ni kwamba inakuwa ngumu kuishitaki Tigo kwasababu zifuatazo:
Taarifa za Lissu zilivuja kipindi ambacho kampuni mama iliyomiliki Tigo ni "Millicom International Cellular public limited company"
Mwaka 2022 hadi sasa kampuni mama mmiliki wa Tigo ni "Honora Tanzania Public Limited company"
Ni sawa na kushambuliwa na jirani, akihama nyumba ni ngumu kuishtaki nyumba yenye jirani mpya,
Tatizo linapokuja ni kwamba inakuwa ngumu kuishitaki Tigo kwasababu zifuatazo:
Taarifa za Lissu zilivuja kipindi ambacho kampuni mama iliyomiliki Tigo ni "Millicom International Cellular public limited company"
Mwaka 2022 hadi sasa kampuni mama mmiliki wa Tigo ni "Honora Tanzania Public Limited company"
Ni sawa na kushambuliwa na jirani, akihama nyumba ni ngumu kuishtaki nyumba yenye jirani mpya,
Clifford kule London anamshtaki Nani?acheni utetezi wa Kitoto.Madeni yanayokuwepo wakati huo
Sio kesi za mafao ya wafanyakazi
Ndio maana kampuni zilizobinafsishwa hadi leo wafanyakazi wanasota kutafuta mafao yao hawaendi kwa wawekezaji wapya
Kwani zantel ndio inatuhumiwa mbona kama umedata mkuuNa Zantel ni brand 😂🐼
Milicom nayo imeuzwa? Clifford anamshtaki Nani Mahakamani London?Anajichoshaaaa tu tigo 3yrs back imeuzwaaa
Huyo kadata baada ya kufukuzwa kazi afanye shughuli nyingine hapo haambulii hata 100Milicom nayo imeuzwa? Clifford anamshtaki Nani Mahakamani London?
Tatizo linapokuja ni kwamba inakuwa ngumu kuishitaki Tigo kwasababu zifuatazo:
Taarifa za Lissu zilivuja kipindi ambacho kampuni mama iliyomiliki Tigo ni "Millicom International Cellular public limited company"
Mwaka 2022 hadi sasa kampuni mama mmiliki wa Tigo ni "Honora Tanzania Public Limited company"
Ni sawa na kushambuliwa na jirani, akihama nyumba ni ngumu kuishtaki nyumba yenye jirani mpya,
Maana TIGO na Zantel zinamilikiwa na Honoruru ya Aziz 😀Kwani zantel ndio inatuhumiwa mbona kama umedata mkuu
Wamerithi wateja na dhambi zake
Kwahiyo ulikua unasemaje sijakuelewa, naona unachanganya mafailiMaana TIGO na Zantel zinamilikiwa na Honoruru ya Aziz 😀
Samahani, lakini tulia kwanza kwani hauna akili za kuweza kumjibu haraka msemaji wa kampuni kubwa kama hiyo. Fikiria vizuri, elewa, kwa upana (kama una ufahamu wowote wa mambo hayo) Kisha ndo useme lolote.Imeshtakiwa kampuni sio wamiliki
Naona mnakimbilia haraka kujibu kijf jf.......niko paleee nimetulia.😊😊😊Inayoshtakiwa ni Kampuni siô Mmiliki.
Hivyo Kesi bado Ipo palepale.
Nilitegemea Wakanushe kuwa hawakufanya hivyo lakini Kwa kauli yao inathibitisha kuwa kitendo kilifanyika na kilifanywa na Kampuni ya Tigo, semà Mmiliki ni Mwingine.
Jina la Kampuni NI lilelile.
Wateja wa Tigo na Namba za tigo ni zilezile ikiwemo Mhanga àmbaye ni Tundu Lisu
Hivyo Kesi Hapo bado yamoto.
Rostam Aziz amenunua TIGO na Zantel na anazimiliki sawia 🐼Kwahiyo ulikua unasemaje sijakuelewa, naona unachanganya mafaili
Hamna kesi hapo wewe unapoteaa mda kuandika gazeti
Kama mmiliki alibadilika mbona hakubadilisha kuna kama akina Zain ni?Kampuni ya TIGO imesema haihusiki na sakata la kuvuja Taarifa za Tundu Antipas Lisu
HONORA imesema kampuni mama ya Tigo haikuwa mmiliki Wakati Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu anashambuliwa
----
Dar es Salaam. Kampuni ya Honora Tanzania Public Limited Company ("TIGO") imejitenga na taarifa za kuvujisha taarifa za simu za Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu, ikisema kampuni mama ya sasa ya Tigo haikuwa mmiliki wake wakati tukio lililoripotiwa.
Taarifa hiyo inatokana na kesi inayoendelea nchini Uingereza kati ya Kampuni ya Millicom iliyokuwa ikimiliki Tigo na aliyekuwa mfanyakazi wake, Michael Clifford ambaye sasa amefukuzwa kazi.
Kwa mujibu wa Gazeti la The Guardian la Uingereza la Septemba 24, 2024, Clifford aliwasilisha maelezo yake katika mahakama ya London kuwa, chanzo cha kufukuzwa kwake ni kutoa ripoti ya jinsi kampuni hiyo ilivyotoa taarifa za mawasiliano ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu.
Lissu alishambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana Septemba 7, 2017 akiwa kwenye gari lake alipokuwa akielekea kwenye makazi yake baada ya kuhudhuria vikao vya Bunge jijini Dodoma.
Taarifa iliyotolewa la Honora Tanzania Public Limited Company leo Septemba 26, 2024 imeleza kutambua taarifa ya kesi inayoendelea nchini Uingereza ya ajira katika mahakama ya London inayomhusisha mfanyakazi wa zamani wa Millicom, kampuni mama ya Tigo hadi mwaka 2022.
Soma Pia:
- Tundu Lissu kuiburuza Tigo mahakamani
- Kupigwa risasi kwa Tundu Lissu: Kampuni ya simu ya Tigo yadaiwa ilivujisha mawasiliano yake kwa mamlaka
“Kampuni mama ya sasa ya Tigo haikuwa mmiliki wake wakati tukio lililoripotiwa lilipotokea,” imesema taarifa hiyo.
Imesema japo hawawezi kutoa maoni kuhusu undani wa kesi hiyo kwa kuwa hawahusiki moja kwa moja, bali wanahakikisha ulinzi wa taarifa za wateja wao.
“Tunataka kuwahakikishia wateja wetu na wadau wetu kwamba kulinda data zao binafsi kwa kuzingatia sheria na kanuni za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, bado ni kipaumbele chetu kikuu,” imesema taarifa hiyo.”
Chanzo: Mwananchi
Tigo sio kampuni wewe hiyo ni brand hamna kesi hapoMuda utaongea kiongozi. Tigo wanalo hamna namba.
Anashitaki kampuni ya Milicom sio Tigo sababu hata yeye anajua hakuna kampuni inaitwa Tigo kwenye daftari la msajili wa makqmpuni Ulaya wala TanzaniaClifford kule London anamshtaki Nani?acheni utetezi wa Kitoto.
Unaongea nn Bush lawyer? Mara Tigo IPO mara haipoAnashitaki kampuni ya Milicom sio Tigo sababu hata yeye anajua hakuna kampuni inaitwa Tigo kwenye daftari la msajili wa makqmpuni Ulaya wala Tanzania....