tiGO yaburuzwa mahakamani kudaiwa fidia ya sh. 26,880,000/=

activist

Senior Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
180
Reaction score
281
Kampuni mama ya tiGO Tanzania 'HONORA TANZANIA MOBILE SOLUTIONS LTD' wamefikishwa mahakama ya mwanzo Ilala wakidaiwa fidia ya shilingi milioni 26,880,000/=

Shauri hili namba 270/2024 litaanza kusikilizwa mbele ya hakimu mfawidhi Judith Kobo baada ya tigo kutuhumiwa kuanzia kipindi cha tarehe 30 April mpaka 16 May 2024 kumkata mteja Aitwae Benedict K. Kiasi cha shilingi 118,000/= kinyume cha utaratibu.

Madai haya yamefikishwa mahakamani baada ya hapo awali Mteja kuwasilisha malalamiko yake dawati la malalamiko la tiGO kwa mujibu wa kanuni za benki kuu zinazomlinda mteja za mwaka 2019, ambapo tiGO hawakujibu.

Mteja aliwasilisha malalamiko yake Benki Kuu ya Tanzania kwa mujibu wa kanuni, ambao benki kwa barua yao ya tar 1/9/2024 walimshauri mteja kuwasilisha malalamiko hayo mahakamani ili kupata uamuzi wa mahakama.
 
Kampuni mama ya tiGO tanzania HONORA TANZANIA MOBILE SOLUTIONS LTD wamefikishwa mahakama ya mwanzo ilala wakidaiwa fidia ya shilingi milioni 26,880,000/= .shauri hili namba 270/2024 litaanza kusikilizwa mbele ya hakimu mfawidhi Judith Kobo baada ya tigo kutuhumiwa kuanzia kipindi cha tar 30 April mpaka 16 may 2024 kumkata mteja Aitwae Benedict K. Kiasi cha shilingi 118,000/= kinyume cha utaratibu. Madai haya yamefikishwa mahakamani baada ya hapo awali Mteja kuwasilisha malalamiko yake dawati la malalamiko la tigo kwa mujibu wa kanuni za benki kuu zinazomlinda mteja za mwaka 2019, ambapo tigo hawakujibu. Mteja aliwasilisha malalamiko yake Benki kuu ya Tanzania kwa mujibu wa kanuni, ambao benki kwa barua yao ya tar 1/9/2024 walimshauri mteja kuwasilisha malalamiko hayo mahakamani ili kupata uamuzi wa mahakama.
shilingi milioni 26,880,000/= unazijua wewe ?
 
Ngoja nasi tukague mienendo ya makato yanayofanywa na kampuni za simu za mikononi, tuone haki na madai tunayoweza kuanzisha kwa mujibu wa sheria zilizopo.
 
shilingi milioni 26,880,000/= unazijua wewe ?
Nchi yetu inapita kwenye kipindi kigumu. Vijana wetu wengi wana tatizo kubwa kwenye hesabu!! Huyu alimaanisha milioni 26.88 au angesema 26,880,000.

Fikiria mtu anashindwa kujua kuwa milioni 1, ni tofauti kabisa na milioni 1000,000. Milioni 26,880,000, ni sawa na 26,880,000 × 1,000,000 = 26,880,000,000,000; hii ni trilioni 26.88.
 
Akili kubwa ....super!!!

Watanyooka taratibu maana humu sio tiktok.
 
Kampuni mama ya tiGO Tanzania 'HONORA TANZANIA MOBILE SOLUTIONS LTD' wamefikishwa mahakama ya mwanzo Ilala wakidaiwa fidia ya shilingi milioni 26,880,000/=

Shauri hili namba 270/2024 litaanza kusikilizwa mbele ya hakimu mfawidhi Judith Kobo baada ya tigo kutuhumiwa kuanzia kipindi cha tarehe 30 April mpaka 16 May 2024 kumkata mteja Aitwae Benedict K. Kiasi cha shilingi 118,000/= kinyume cha utaratibu.

Madai haya yamefikishwa mahakamani baada ya hapo awali Mteja kuwasilisha malalamiko yake dawati la malalamiko la tiGO kwa mujibu wa kanuni za benki kuu zinazomlinda mteja za mwaka 2019, ambapo tiGO hawakujibu.

Mteja aliwasilisha malalamiko yake Benki Kuu ya Tanzania kwa mujibu wa kanuni, ambao benki kwa barua yao ya tar 1/9/2024 walimshauri mteja kuwasilisha malalamiko hayo mahakamani ili kupata uamuzi wa mahakama.
Kimavi gani hiki kinauandama huu mtandao!?
 
Back
Top Bottom