KERO Tigopesa wamelipia huduma kutoka kwenye akaunti yangu bila idhini yangu

KERO Tigopesa wamelipia huduma kutoka kwenye akaunti yangu bila idhini yangu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

akatiwanya

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
674
Reaction score
868
Tar 03/11/2024 niliweka Tsh.20,000/= kwenye account yangu ya tigo pesa, tar 04/11/2024 asubuhi nikakutana na hii,
👇👇
Dear Customer, you have Successfully done Payment for Google play store.

Nilivyoona hiyo text nikaenda kwenye account yangu ya tigo nikakuta kweupe hela yote wameikomba.

Wana familia nawaombeni msada wa namna ya kujiondoa katika huduma hii tafadhali.
 
Msaada gani unataka hapa zaidi ya kupata matusi na kejeli tu? Wapigie Tigo customer care namba 100 watakusaidia.
 
Back
Top Bottom