ShyaRuwa
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 7,895
- 13,643
Inawezekana, hata zilikopitia silaha za kukiamsha Libya 2011 ni utata.Tigray wanapataje silaha nzito nzito? Sio Wamanga wa Misri wanawapa kiburi? Suala la Kujenga Bwawa limewachefua Wamanga Koko