[emoji1] [emoji1] hatar sanaJuma na Hussein mmoja alichezea Halmashauri Kasulu mwingine Kasulu Warriors.
Wachovu haoDani serumkuma saimoni serumkuma, wote simba
Umenikumbusha uwanja wa umoja
Nimekipiga sana pale vumbini enzi za utoto tunaenda kuangalia mazoezi ya ELIMU KASULU
Issa Athumani na Kasongo Athuman si Athuman China.Issa athumani Yanga,Athumani china simba
Ni Issa Athuman (yanga) na Kasongo Athuman (simba) na Athuman China hakua ndugu yao.Issa athumani Yanga,Athumani china simba
Hawakuwa ndugu hawa ni majina yali fanana.Zamoyoni Mogela na Method Mogela
Maldin Baba na Maldin Mtoto (Italia)
Yeah Mkuu,Kuna wakati Maldini baba alikua kocha wa timu ya taifa na Maldini mtoto akiwa kapteni wa timu ya taifa.
Kuna Kipindi Salum Kabunda (Ninja) akiwa Yanga alimchezea rafu mbaya sana kasongo Athumani wa Simba.Ni Issa Athuman (yanga) na Kasongo Athuman (simba) na Athuman China hakua ndugu yao.
Sio kweli. Issa Athuman Mugaya na mwingine ni Athuman Abdalah ChinaIssa athumani Yanga,Athumani china simba
Enzi hizo kulikuwa na mpira mzuri sana ulikuwa unafurahia kwenda kuangalia mpira. Chumila. Iddi pazi. Hamiss gaga. Alfred kategile. Twaha hamidu daaahboniface njohole, deo njohole na nico njohole
Peter Tino na Gebo peter
Nimekukubali mkuuMwanamtwa kihwelo, Kiwelo Musa, Jammhuri kiwelo na Muhesa kiwelo