Tijikumbushe wachezaji wa familia moja waliopata kutamba kwenye ligi kuu ya mpira wa miguu

Tijikumbushe wachezaji wa familia moja waliopata kutamba kwenye ligi kuu ya mpira wa miguu

kuna shaban mtupa& ramadhan mtupa(walichezea tz prison miaka y 2014
 
Umenikumbusha uwanja wa umoja
Nimekipiga sana pale vumbini enzi za utoto tunaenda kuangalia mazoezi ya ELIMU KASULU

Elimu Kasulu ndo ilikuwa zamani inaitwa Halmashauri, kipindi hicho Kasulu Werriors ilikuwa haijaundwa, so mpinzani wake mkuu alikuwa ni Town Stars, Baadae iliibuka Danger Boys ya Kumnyika ambao kulikuwa na ndugu wawili wanacheza Ali Kambi na Selemani Kambi.
 
Familia ya Mzee Shaaban Moshi: Idd Moshi (Yanga) na Haruna Moshi "Boban"(Simba)
 
Ni Issa Athuman (yanga) na Kasongo Athuman (simba) na Athuman China hakua ndugu yao.
Kuna Kipindi Salum Kabunda (Ninja) akiwa Yanga alimchezea rafu mbaya sana kasongo Athumani wa Simba.
Issa Athumani wa Yanga uzalendo ukamshinda, Damu Nzito kuliko Maji, alishindwa kuvumilia akamfuata Yanga mwenzie Salum Kabunda na Kumkunja
 
boniface njohole, deo njohole na nico njohole
Peter Tino na Gebo peter
Enzi hizo kulikuwa na mpira mzuri sana ulikuwa unafurahia kwenda kuangalia mpira. Chumila. Iddi pazi. Hamiss gaga. Alfred kategile. Twaha hamidu daaah
 
1.Paul Pogba-Man U

2.Mathias Pogba-Sparta Rotterdam

3.Frolentin Pogba-AS Saint-Etienne

Hao wanacheza wote mpaka sasa Mathias na Frolentin Ni mapacha kaka zake Pogba.
 
Back
Top Bottom