Tiketi za 'Simba Day - Ubaya Ubwela' zinakaribia kuisha, Yanga mnafeli wapi?

Ubaya Ubwela

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2024
Posts
1,353
Reaction score
3,060
SOLD OUT YA UBAYA UBWELA HII HAPA.

Kwa wale wachache wa mwisho kupenya na kupata tiketi changamkeni.

Huu umekuwa ni utamaduni wa Simba kuujaza Uwanja kwa kuuza tiketi zote, Ni tofauti na upande wa pili Yanga wao kuujaza uwanja hawawezi mpaka wanunuliwe tiketi au wasubiri fungulia dogy

Mara nyingi wanasubiri kusikia;
Diwani kanunua tiketi 50.
Mwenyekiti wa mtaa kanunua tiketi 20.
Mjumbe wa mtaa kanunua tiketi 50 za kuwagawia mashabiki wa timu ya Yanga.

***********************

Tayari SOLD OUT

UBAYA UBWELA

20240731_153531.jpg

View attachment 3057798
 
SOLD OUT YA UBAYA UBWELA HII HAPA.

Kwa wale wachache wa mwisho kupenya na kupata tiketi changamkeni.

Huu umekuwa ni utamaduni wa Simba kuujaza Uwanja kwa kuuza tiketi zote, Ni tofauti na upande wa pili Yanga wao kuujaza uwanja hawawezi mpaka wanunuliwe tiketi au wasubiri fungulia dogy

Mara nyingi wanasubiri kusikia;
Diwani kanunua tiketi 50.
Mwenyekiti wa mtaa kanunua tiketi 20.
Mjumbe wa mtaa kanunua tiketi 50 za kuwagawia mashabiki wa timu ya Yanga.

Ubaya ubwela.

View attachment 3057666
Ndo kombe lenu mnalolipambania..!! La magoma mmeshalipata.
 
Yanga ni watu wakujitutumua kila kitu hapo wataandika na wao sold out ili kuonekana wana brand kubwa ya kuforce
Kwenye kitengo cha kujaza uwanja mpo vizuri lakini hili ni kwavile ni tukio la mwanzo wa msimu. Nakumbuka msimu uliopita timu ya Simba ilicheza mwishoni huku viwanja vikiwa vyeupe. Viwanjani hawaonekani na kwenye vibanda pia hawaonekani na nyimbo za hatumtaki Mangungu zikizagaa kila kona
 
SOLD OUT YA UBAYA UBWELA HII HAPA.

Kwa wale wachache wa mwisho kupenya na kupata tiketi changamkeni.

Huu umekuwa ni utamaduni wa Simba kuujaza Uwanja kwa kuuza tiketi zote, Ni tofauti na upande wa pili Yanga wao kuujaza uwanja hawawezi mpaka wanunuliwe tiketi au wasubiri fungulia dogy

Mara nyingi wanasubiri kusikia;
Diwani kanunua tiketi 50.
Mwenyekiti wa mtaa kanunua tiketi 20.
Mjumbe wa mtaa kanunua tiketi 50 za kuwagawia mashabiki wa timu ya Yanga.

Ubaya ubwela.

View attachment 3057666
Huwa wanatangaza zimekwishwa ila siku ya mechi uwanja inakuwa mtupu, sio WA kuwaamini hao

Mwaka jana walifanya hivo
 
SOLD OUT YA UBAYA UBWELA HII HAPA.

Kwa wale wachache wa mwisho kupenya na kupata tiketi changamkeni.

Huu umekuwa ni utamaduni wa Simba kuujaza Uwanja kwa kuuza tiketi zote, Ni tofauti na upande wa pili Yanga wao kuujaza uwanja hawawezi mpaka wanunuliwe tiketi au wasubiri fungulia dogy

Mara nyingi wanasubiri kusikia;
Diwani kanunua tiketi 50.
Mwenyekiti wa mtaa kanunua tiketi 20.
Mjumbe wa mtaa kanunua tiketi 50 za kuwagawia mashabiki wa timu ya Yanga.

Ubaya ubwela.

View attachment 3057666
Mafanikio ya timu ni kiwango kizuri uwanjani, makombe na uimara wa uchumi. Iyo gap ya viti 500 vya 5000 inaweza kujazwa na mkataba mmoja tu wa udhamini. Pesa ipo kwenye kulipa ada ya uanachama, mauzo ya jezi na mikataba ya kibiashara.

Endeleleeni kulazimisha furaha kwa kuibua cheap stuffs wakati chati ya ubora wenu uwanjani inazidi kushuka.
 
Mkuu sold out ndiyo, je hizo tiketi zilikuwa ngapi? Isijekuwa sold out kumbe tiketi yenyewe zilikuwa 20,000 kwa ujumla.
 
Mafanikio ya timu ni kiwango kizuri uwanjani, makombe na uimara wa uchumi. Iyo gap ya viti 500 vya 5000 inaweza kujazwa na mkataba mmoja tu wa udhamini. Pesa ipo kwenye kulipa ada ya uanachama, mauzo ya jezi na mikataba ya kibiashara.

Endeleleeni kulazimisha furaha kwa kuibua cheap stuffs wakati chati ya ubora wenu uwanjani inazidi kushuka.
Kwa hiyo hakuna haha ya Kwenda uwanjani kijana maana haichangii chochote kwenye uchumi wa Timu???Kwa hiyo heavy stuffs ni udhamini wa milioni 200 Kwa mwaka wa vinywaji vya GSM, kuliko kuingiza hiyo million 200 Kwa SIKU Kwa mashabiki kujaza uwanja?? Mpira wakati wa COVID-19 ulikuwa biashara mfu Kwa sababu ya mashabiki hizo brand za biashara hazikuwepo??? Mangara ndo anawalisha hizi cheap stuffs,, afu mnaziita strong??
 
Back
Top Bottom