macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Hii huwa naita ni ''pepo ya mabwege''. CCM imewakamata wabongo masikio kweli kweli. Badala ya kupigania maisha yao na watoto wao, wanakimbilia kujazana uwanjani kama nyumbu.SOLD OUT YA UBAYA UBWELA HII HAPA.
Kwa wale wachache wa mwisho kupenya na kupata tiketi changamkeni.
Huu umekuwa ni utamaduni wa Simba kuujaza Uwanja kwa kuuza tiketi zote, Ni tofauti na upande wa pili Yanga wao kuujaza uwanja hawawezi mpaka wanunuliwe tiketi au wasubiri fungulia dogy
Mara nyingi wanasubiri kusikia;
Diwani kanunua tiketi 50.
Mwenyekiti wa mtaa kanunua tiketi 20.
Mjumbe wa mtaa kanunua tiketi 50 za kuwagawia mashabiki wa timu ya Yanga.
Ubaya ubwela.