Zouzoutz
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 1,883
- 2,732
AahaaaaNdio kipindi chako cha kuonekana jukwaani hiki. Ligi ikipamba moto unapotea jukwaani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AahaaaaNdio kipindi chako cha kuonekana jukwaani hiki. Ligi ikipamba moto unapotea jukwaani
Yaani watangaze sold out ya mchongo siku tatu kabla?Sold Out ya Simba ni ya mchongo, wala haishtui.
Kwa mujibu wa takwimu za Tff Yanga ndio timu inayo ingiza mashabiki wengi viwanjani ata msimu ulio malizika 2023/2024 Yanga walikua vinara kwa mashabiki wengi viwanjani.Mkuu sold out ndiyo, je hizo tiketi zilikuwa ngapi? Isijekuwa sold out kumbe tiketi yenyewe zilikuwa 20,000 kwa ujumla.
Simba ni kawaida kutangaza Sold out ila uwanja unajaa mapengo mpaka aibu.Kwa hiyo hakuna haha ya Kwenda uwanjani kijana maana haichangii chochote kwenye uchumi wa Timu???Kwa hiyo heavy stuffs ni udhamini wa milioni 200 Kwa mwaka wa vinywaji vya GSM, kuliko kuingiza hiyo million 200 Kwa SIKU Kwa mashabiki kujaza uwanja?? Mpira wakati wa COVID-19 ulikuwa biashara mfu Kwa sababu ya mashabiki hizo brand za biashara hazikuwepo??? Mangara ndo anawalisha hizi cheap stuffs,, afu mnaziita strong??
Ingia N card uone kama tickets hazipokuuza tiketi na kujaza uwanja ni vitu tofauti unaweza nunua na usiende
Nikukumbushe tu, msimu jana mlisema hivihivi mkaishia na uwanja nusu. Sasa sijui tujifunze lipi hapo?Mfumo wa mauzo ya tiketi za mpirani kwa sasa huwa hakuna mwanya wa kufanya udanganyifu. Kubali haya matokeo b... ili mjiruhusu kujifunza katika hili.
Ova
Simba hawawezi kutoa za bure kwasababu ndiyo njia pakee mfadhiri anaweza pata pesa,(,punguza makali ya uwekezaji)Wazee wa bure mmekumbukwa
[emoji599] Young Africans SC kwa kushirikiana na Mpango wa Taifa Damu Salama kesho Alhamisi kutakuwa na zoezi la uchangiaji Damu.
Zitatolewa tiketi za bure kwa mashabiki na wanachama wa Yanga wote watakaoshiriki.
Naunga mkono hojaSold Out ya Simba ni ya mchongo, wala haishtui.
Mwaka jana ilikuwa hairuhusiwi kuuza tiketi elfu sitini. Serikali iliruhusu watu elfu hamsini tu uwanjani, ila Simba iliomba iingize japo watu elfu hamsini na tano.Nikukumbushe tu, msimu jana mlisema hivihivi mkaishia na uwanja nusu. Sasa sijui tujifunze lipi hapo?
Sawa b…Mwaka jana ilikuwa hairuhusiwi kuuza tiketi elfu sitini. Serikali iliruhusu watu elfu hamsini tu uwanjani, ila Simba iliomba iingize japo watu elfu hamsini na tano.
Ndiyo ikapewa nafasi ya kuongeza watu elfu tano, wakawa elfu hamsini na tano, ndiyo maana unaona kulikuwa na hayo mapengo. Ila mwaka huu ni elfu sitini.
Ova
Ticket zimebakia za orange peke yake hadi sasa, mzunguko, Vip A,B na C, royal na vvip zimeshaisha.Sisi wananchi tunasubiri kuingizwa bure maana tushazoea dezo
Hujaulizwa,jifunze kutulia,Umepewa taarifa ipokeeSold Out ya Simba ni ya mchongo, wala haishtui.